Recent content by ally nyau

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamekimbia aibu ya kushindwa uchaguzi s/mtaa

    Katika uzinduzi wa kitabu cha raisi mstafu ndugu BW Mkapa alitoa jumbe mbili. Kwanza alikisema chama chake kujisahau sana kana kwamba hakuna upinzani wakati upinzani upo na unakua kwa kasi kubwa sana na pia raisi mstafu alifikia mpaka kusema kuwepo na tume huru ya uchaguzi ambalo pia ni jambo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamekimbia aibu ya kushindwa uchaguzi s/mtaa

    wapinzani wanasahau kuwa wanaenda kuwafanya wananchi wa vyama vyao kuto hamua hatima ya maisha yao katika ngazi ya mtaa kwa kipindi cha miaka mitano
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa upinzani waanza kushawishiwa ili wapuuze kauli za viongozi wao za kujitoa kwenye uchaguzi

    hapa ndio maana mimi namuelewaga sana polepole
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa upinzani waanza kushawishiwa ili wapuuze kauli za viongozi wao za kujitoa kwenye uchaguzi

    Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo. Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

    kweli we we kwikwi yan MTU anatetea maslai ya inch we we unasema anaingilia mambo ya watu binafsi Kweli nimeamini inchi imeuzwaa hii
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Sijui tunaipeleka wapi Tanzania yetu Maana baada kuitetea Leo hii tunaibomoa ehee mungu tusaidie tuepukane na mifisad papa hiii
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    kweli ujitambui ata kidogo maana umetoka kwenye Masada unatuletea dfn ASA hiyo sisi waltz itatusaidia nini
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Yan kunawatz wanakuja hapa mbele ya umma nakuwatetea wezi kweli duniia imesha now
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    hakuna cha chochote hapo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    naona mijambazi imekuja na mbinu mpya asa kwa taarifa yenu mtakwenda na maji wete nyie mnao tetea majizi ya mali za nchi yetu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Wewe umetumiwa kwa lipi ebu acha kujitoa fahamu wewe ni mtu mzina lakin kama mtoto
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Kweli ujitambui mkuu asa kafulila kusima ukweli wewe unaona unarubuniwa wewe sisi wabongo ni mizigo kabisa Yan wewe ungekuwa china ushanyongwa
  13. A

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

    Mkuu labda nyie ndo mnalipwa maana mnashupalia humu jf kutete wezi wa mali za nchi yenu kweli nyie mambulula wa kutupa kabisa Asa baadae watoto mnategemea watarithi nn ktk nchi hebu amken nyievvijana
  14. A

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

    Uchafuu mtupu
Back
Top Bottom