Recent content by ALLY MATOLA

  1. A

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nan aliwai kufanya Oral interview ya Tanzania Commercial Bank Position ya Relationship Officer majibu huwa wanatoa kwa mda gan?
  2. A

    Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

    Kweli kabisa kinacho mponza Chid ni wale masela wake ukipita mitaa ya Karume kule kunachimbo lao wanapiga sana mitungi na nahs akiwa na ela ndo wanamsonga ila zikija kuisha wanamuacha apambane
  3. A

    Naomba kujuzwa kuhusu Kampuni ya Global Alliance

    Nenda ukiwa umeandaa na 30,000 ya fomu,alafu utaambiwa hii sio ajira ni fursa. Uanze semina za asubuhi mpaka jion kufundishwa namna ya kwenda kuomba pesa kwa watu wako wa karibu ili ukawekeze kwao. Kuwa Makin Sana Mkuu io sio ajira na haina interview. Wulize kwanza nakuja kufanya kazi gan na...
  4. A

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Natumia Pixel 4 sahz mwaka umepita ni simu nzuri sana Camera ipo vzur na vitu vingine ipo fresh.Shida nilinunua hii simu sikucheki Battery lake. Battery lake ni 2800mAh ambalo haliitaji matumizi mengi ukiwa ume washa Data na Unatumia Camera sana huwa inapunguza uwezo wa Battery lake na kuwahi...
  5. A

    Various Posts at People's Bank of Zanzibar

    Naona Zanajira Portal inahitaji uwe na Zanzibar Identity number ndio uweze ku apply hzo kazi.
  6. A

    Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Ni hivi majuzi, katika ukumbi wa MAELEZO, tumetangaziwa kuwa Serikali ya Rais Samia imetoa TZS 57 Billion katika robo ya kwanza ya mwaka 2022/23 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya vya Umma. Kwa hakika hicho ni kiasi kikubwa na cha kutosha ili...
Back
Top Bottom