Pole kijana keep bze fanya mazoez acha kuangalia pono kulasana asali maziwa na usifanye mpnz ama usijishughulishe na habar za mapenzi mpaka utakapo ona chif yako inakusumbua yenyewe hasa hasubui ama utakapo muona mrembo na si ponal
Habari wakuu,
Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF.
Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo mwanzo nahitaji mwanga zaidi.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.