DALILI YA MVUA NI MAWINGU! Nilichokiona jana sijawahi kukiona toka nimezaliwa waziri mkuu mstaafu anazuiwa kwenda kuzika? hii ni dalili mbaya! ombi langu kwa polisi mnatumiwa vibaya mkivunja amani mjue familia zetu hazitakuwa salama kamwe naomba msitolewe kafara wananchi wa sasa wamechoka...
Huyo nchimbi mwenyewe hana alichofanya jimboni kwake alikuwa anashinda kwa bao la mkono tu akiwa waziri alikuwa anawaonea wafuasi cdm kwa kuruhusu policcm kupiga mabomu nani ampokee huko cdm? kwa jimbo gani watamkubali?
Watanzania badilikeni kifikra ccm sio baba yenu km wazazi wenu waliowazaa huwa wanazeeka mwisho hufaliki! cha ajabu nini kufa kwa ccm ambayo imeishi miaka hamsini hadi viongozi wake wakuu wamechoka kifra wamebaki na siasa za matusi tu!Nenda kajiandikishe ili nayo ccm kiitwe chama pinzani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.