Recent content by Alluu

  1. A

    Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Sawa ndivo wanavyofanya 650, sasa hatua gani za kisheria muathirika anaweza kuwachukulia?
  2. A

    Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
  3. A

    Kwanini tunaibeba DP World kiasi hiki?

    Africa Africa Africa, ni nani aliyetuloga. Hatujifunzi kutokana na makosa yaliyofanyika huko nyuma?. Historia yetu inatuhukumu mpaka sasa, ni mikataba mingapi mibovu serikali hii na bunge hilihili limeshaipitisha na inatutesa?. Serikali ifute huu mkataba maramoja na kuanza mchakato upya wenye...
  4. A

    Baraza la mitihani liseme ukweli kuhusu kutoa list ya wanafunzi bora

    Lusomya uko sahihi kabisa, kuna jambo haliko sawa (Limefichwa hapa na mamlala) kwenye utungaji, ufanyaji wa mitihani na hadi usahihisaji wa mitihani hii ya four four mwaka 2022. Nivema Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani wakawa wakweli tu na kutupa sababu za msingi za maamuzi waliyoyafanya kwa...
  5. A

    Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    Hujitambui ndio maana unashindwa kupambanua na kuelewa hoja, unaishia kutukana. Kutukana haikusaidii chochote, sana sana inaonyesha jinsi ulivyomtupu kichwani kwako na hujakomaa. Nilidhani una busara kumbe ni zero kabisa. Na hata elimu yako inaonekana ni ya kubabaisha ndio maana hujiamini...
  6. A

    Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    Ukiona kijana amepata elimu na maarifa halafu bado anaongelea mambo ya urithi maana yake amefilisika kimawazo. Kwani huyo mzazi alipata wapi hizo mali? Kizazi hiki cha Wagalatia kinasikitisha sana, ukiwepo urithi sawa hakuna shida, lakini sio wakung'ang'ania urithi mpaka wengine wamewauwa wazazi...
  7. A

    Nimefanikiwa kufungua online radio

    Hongera sana Kigger. Kazi nzuri sana, ila naona bado hujaweza kuandaa vipindi. Nadhani ni hatua ambayo unatakiwa kuiwekea mipango kama vile ulivyoanza, hakuna kinachoshindikana
  8. A

    Msaada: Ulaji mkubwa wa umeme kwa matumizi yale yale kwenye mita ya 3-Phase

    Mimi pia nimepata hiyo changamoto, nina 3 phase meter, umeme unaotumika kwa siku units zimeongezeka bila kuwa na matumizi ya ziada, sijajua kama ni TANESCO wamebadilisha rates kwa sisi wenye 3 phase au kuna shida gani. Pia nimeuliza mafundi umeme na wamecheck system ya wiring ya nyumba wanasema...
  9. A

    Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

    Jambo la kusitikisha zaidi, ni kwama vyombo vya dola hapo Kunduchi vipo vyakutosha, kuanzia Polisi, Jeshi na TISS, inakuwa vigumu kuelewa security system/mifumo ya ulinzi wa raia inasimamiwa na nani. Kwanini hata IGP au hata Mkuu wa Mkoa hajasema chochote kuhusu Panya Road, na mbaya zaidi haya...
  10. A

    Royal Tour ni kichocheo tu, mamlaka zisijisahau

    Very good observations Mshana Jr, pia issue nyingine ya kuangalia pamoja na ulizozitaja ni comparative parks entry fees za Tanzania Vs competitors wetu, ni muhimu sana vinginevyo malengo mazuri yaliyowekwa hayawezi kufikiwa
  11. A

    Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

    Kuna ukweli katika hoja yako Jokotinda jr, Ukristo unamisingi yake ambayo sasa hivi tunaona kabisa makanisa yamegeukia fedha balada ya ibada. Hakuna tatizo kutoa sadaka kama sadaka, tatizo linakuja pale kanisa linapoweka sadaka mbele badala ya ibada kwanza. Nafikiria hapo baadae, Mungu anaweza...
  12. A

    Posts nyingi za kipuuzi za vijana wa Tanzania hasa Twitter zinaeleza tuna kizazi cha namna gani

    Hili tatizo lipo kwa kiasi fulani hata humu JF, kuna hoja za msingi unaona kabisa hazipewi likes au responses/majibu yanayostahili. Nivema tukajitafakari na kubadilika
  13. A

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Uko sahihi Faizafoxy, Sio kweli hapa katudanganya, Serikali si mnunuzi wa ngano. Hii itakuwa ni changamsha baraza, Wanunuzi wakubwa wa ngano ni viwanda kama Bakhresa, Mo n.k unless ngano hiyo haikwa na vigezo kwahoyo mzalishaji alitegemea aiuzie Serikali, huu nao ni upigaji wa aina yake.
  14. A

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Njowepo umeleta mada nzuri sana, Jamii Forums tunahitaji mada kama hizi ambazo mjadala wake unaweza kuleta tija katika kutatua changamoto zilizopo na kuleta impact katika uchumi wa nchi yetu. Ni seme tu huu ni mmoja ya miradi ambayo kama nchi ni wakati muafaka sasa Waziri wa Kilimo na team yake...
  15. A

    Judas Iscariot was a victim

    Uko sahihi kwa upande mmoja, lakini je si angekataa kutumika, sio kwamba nayee alikuwa na tamaa ya vipande vya fedha?
Back
Top Bottom