Judas Iscariot was a victim

Judas Iscariot was a victim

Uko sahihi kwa upande mmoja, lakini je si angekataa kutumika, sio kwamba nayee alikuwa na tamaa ya vipande vya fedha?
 
Gospel according to Juda Iscariot Chapter 2 Versus 22-25
 
Mi nadhan mission ya Yesu ingetimia hata kama Yuda asingemsaliti, yuda aligeuzwa spy ili kuwapa wepesi wa kumkamata Yesu ila njia nyingine pia ingeweza kutumika kumkamata Yesu kama Yuda angekataa kusaliti. Kwaiyo Ni Yesu ndo aliona maono ya kinabii kwamba hapo baadae Yuda atakusaliti, kama ambavyo aliona kuwa Petro atamkana.
Ila sidhani kama ni ilipangwa kuwa lazma yuda amsaliti Yesu ili mission itimie.
Kwaiyo ni kitu Yesu aliona kama maono na sio mpango wa Mungu , labda tuseme shetani alifanikiwa kumuangusha Yuda, ndo maana badala ya kutubu kama Petro ili Mungu amsamehe yeye akaenda kujiua.
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
 
Kwahiyo Yesu aliona jamaa yake akianguka na bado akamuacha aanguke, right?
 
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
Haya mambo sio marahisi hivyo. Kuna kisababisho kilichopelekea Yuda kuingizwa kwenye scenario hiyo (cause and effect). Ni kweli, kuanzisha movie, ilikuwa lazima mtu mmoja awaonyeshe Yesu alipo, lakini kwa nini awe Yuda na sio mtu mwingine?

Hapo ukifuatilia, utakuta Yuda alikuwa na dhambi zingine kabla ya kutenda hii, na hizo zikavuta dhambi ya kusaliti. Wanafunzi wengine wa Yesu wasigemsaliti kwa kuwa walikuwa safi, kwa hiyo hawakuwa na kivutio cha dhambi nyingine.

Shetani hamfuati mtu msafi, bali mwenye dhambi. Na ndio maana hata baada ya tukio hilo (la kusaliti), aliendelea kufanya dhambi nyingine; alienda kujinyonga, ina maana hakutaka kutubu, alikata tamaa. Je, kukata tamaa sio dhambi?

Kwa hiyo unaweza kuona, dhambi moja inaanzisha nyingine, na shetani anazidi kukuandama! Kumbe tunaona, ukitenda dhambi (ukijikwaa), fanya toba, endelea mbele. Kamwe usione kwamba sasa nimefanya makosa, nimemuudhi Mungu, na kwamba hata nikifanya mazuri hayana maana mbele za Mungu, la hasha, Mungu ni mwepesi mno wa kusamehe. Mungu anapenda sana unyenyekevu wetu kwake, kwa hivyo tusikate tamaa pindi tufanyapo makosa!
 
Raia watachukua Muda kukuelewa!
 
Kwahiyo na Yesu alikuwa na dhambi gani mpaka kutolewa kafara?

Na shetani pia alimjaribu Yesu, so Yesu hakuwa msafi, right?

Ukisema Mungu ni mwepesi kusamehe, how comes alilaani kizazi chote cha Adam na Hawa kwa kosa moja tu?
 
Yuda kumsaliti Yesu yalikua ni makubaliano kati yao, iko hivi Yesu hakwenda Jerusalem kuuliwa alikwenda kuanzisha movement ya kwamba for salvation Jerusalem has to fall sasa hili lilikua tishio kidini na kisiasa basi uongozi wa kiyahudi na kisiasa (Romans) wakaanza kumsaka Yesu na machizi boti wake kibano kikakolea ikabidi Yesu ajitoe muhanga alimshirikisha Eskariot ndo wakakubaliana kutengeneza hayo mazingira ya kusalitiana ili awaokoe wengine ikabidi ajitoe sadaka.
 
Kwahiyo na Yesu alikuwa na dhambi gani mpaka kutolewa kafara?

Na shetani pia alimjaribu Yesu, so Yesu hakuwa msafi, right?

Ukisema Mungu ni mwepesi kusamehe, how comes alilaani kizazi chote cha Adam na Hawa kwa kosa moja tu?
Yesu hakuwa na dhambi, dhambi zetu sisi wanadamu ndizo zilizomgharimu Yesu mpaka kutolewa kafara. Hii yote inadhihirisha upendo wa Mungu kwetu (na ndio maana tunasema Mungu ni pendo). Yesu alitolewa kafara ili tupate kukombolewa, kafara haikuwa adhabu kwa kosa lake, bali kwa makosa ya binadamu.

Shetani kumjaribu Yesu, ilikuwa ni kutaka ufahari; kwamba na yeye (shetani) aonekane yuko juu ya Yesu ( kimamlaka). Majaribu ya shetani kwa Yesu sio sawa na majaribu anayotufanyia wanadamu, sisi tu dhaifu mno na wepesi kutenda dhambi, na ndio maana shetani anaishi ulimwenguni na sio mbinguni, kwa kuwa mbinguni ni kwa watakatifu.

Kuhusu Mungu kulaani Adamu na Hawa (na vizazi vyao), hii ilikuwa ni adhabu tu aliyowapa Mungu baada ya kukosa utii, lakini haimaanishi kuwa hakuwasemehe. Ni sawa tu na wewe, ikitokea mwanao au mdogo wako akikosea, utampa adhabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa humsamehi. Kama Mungu hakuwasemehe Adamu na Hawa na vizazi vyao, mbona maandiko matakatifu yanasema baadhi ya vizazi, watu wao walinyakuliwa kwenda mbinguni? Tunasoma kwenye maandiko matakatifu kuwa Elia na wengine walipalizwa mbinguni.
 
Back
Top Bottom