Recent content by allina

  1. A

    Ushauri: Nahitaji mkopo wa benki ili kujenga nyumba kwa gharama ya milioni 6

    Mimi ni mwalimu (degree), nipo Mbeya, nina kiwanja cha ukubwa wa hatua hamsini kwa arobaini, ni pakubwa kiasi chake, na ninatumai kuoa mwaka kesho mapema (just home wife, maana wasomi stress tu).. Sasa natamani nisain benki kwa lengo la ujenzi wa tathmini ya nyumba ya milioni sita, materials...
  2. A

    Nataka kufanya biashara ya ream papers (karatasi nyeupe zisizo na mistari)

    wadau nataka niwe nafanya biashara ya rim msimu wa shule zinapofungua..wakati huo nakuwa nimeshapitia mashule kadhaa na kujihakikishia soko kabla shule hazjafunga..ivo nisaidien ambapo naweza pata duka la bei ya jumla kwa katoni,ili mi niweze kuuza tofauti na zinavouzwa stationary.,mi nipo...
  3. A

    Naweza kusoma certificate ya kilimo au Afya kwa alama hizi za form 4?

    Habari zenu ndugu, Kwenye cheti changu cha kidato cha nne cha mwaka 2005 nina Agr C, chem C, bio D na engl C, math F, geo D, phy sikusoma. Nalenga kusoma certificate ya kilimo au afya. je! yawezekana na niwapi nitaweza kusoma ? (masomo ya sanaa sidhan kama yanahuska hapo) ahsanteni.
  4. A

    Maharage na mahindi ya bisi

    habarini wakuu.. Natarajia kufanya kilimo cha mahindi ya bisi, vipi soko lake liko wazi kupatikana? Na Pia, ni imaharage yapi yanauzika sana sokoni? Naombeni kusaidiwa..
  5. A

    Sifa za kupata mkopo CRDB

    hiyo ni kashfa kwa benk..wajitazame.
  6. A

    Jinsi ya kubadilisha kisima chenye Maji chumvi kuwa maji baridi

    hivi wakuu hayo maji ya chini waweza kufanyia kilimo chaumwagiliaji?kwamfano yakawa yachumvi..nifunguen jaman..
  7. A

    Nahitaji mashine ya Max Malipo

    jaman napataje ile mashne ya max malipo kwa niaba ya luku na malipo mblmbl..na kwa yeyote anaejua biashara hii anisaidie mwongozo.. Natalaji muwazima.. Ahsante.
  8. A

    Matumizi ya matunda

    Natalaji muwazima.. Jamani kwa mtaalam anaejua namna nzuri ya matumizi ya matunda atuongoze hapa ya kwamba, 1. nimatunda yapi ambayo waweza kula kwa pamoja na yapi huwezi kula kwapamoja? mfano chungwa na tango haviendi pamoja. 2. pia je waweza kula matunda kama mlo wa asubuhi,mchana au jioni...
  9. A

    Fursa ya biashara

    could plz specfy ur product?coz ur attach is off retrived.and simpy post it in swahli to read a scop.
  10. A

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    pamoja sana kaka..Mungu akufungulie makubwa zaidi na ubarikiwe kwa moyo wako mkunjufu..
  11. A

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nakushukuru kaka..naomba uniongeze ninakoweza kuzipata.mi niko Mbeya..samahan kw usumbufu mkuu.
  12. A

    Inakatisha tamaa jamani

    hv a good sun_day.
  13. A

    Inakatisha tamaa jamani

    dah..!masai dada,mbona ulishatangaza kuolewa hapa?iwaje tena?fanya kutulia na wako mwenza..au sio.
  14. A

    Inakatisha tamaa jamani

    ndio..
  15. A

    Green Banana Needed In Turkey(100-TONES Every Month) To be Exported From Tanzania

    mi nipo wilaya ya Rungwe kunakopatikana ndizi half of tanzania na nibora kwa bei nafuu..kunanamna ambayo huwa naona wanapakia wale wanaopeleka msumbiji na nchi za jirani,lakini kwa ughaibuni kunamakotena yanayoweza kufnya kaz hyo.ila ni ndizi gani?malindi,kamban,uganda,doni,mshale,toki au mkono...
Back
Top Bottom