Recent content by Allibu m

  1. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Uwaziri Kweli Mtamu, Muda Mfupi Watu Wananona!

    Hiki kitendawili kiliwahi pigwa bani shuleni kwetu.na mwanafunzi alietega kula bakola za kutosha.
  2. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Inatisha: Tatizo la kulala na kushindwa kuamka japokuwa macho yamefumbua na akili ipo sawa sawa!!

    Mimi ni kilalia mgongo huwa sipati usingizi kabisa yaani naweza kesha sijui kwanini
  3. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

  4. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usikate tamaa kabisa, natusua maisha Ukraine hivi hivi

    Ningeshangaa sana kama hiki kitu kisingeulizwa
  5. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Pwani Kibaha: Kibaka ajisalimisha kituo cha Polisi baada ya mzigo alioiba kumng'ang'ania kichwani; mwenye mali amtua

    Halafu picha zote kashikilia mzigo kwanini asiuache tuu kwa sababu hauwezi kudondoka kweli vyuma vimekaza
  6. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Mbona hakuna mshindi wa BIKO ambaye simu yake haikupatikana au haikupokelewa ?

    Sijawai kuona mshindi kashika elf kumi kumi ni elfu tano tano tu duu!
  7. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Je! Mungu ni yule yule?

    Sasa kama mungu mwenyewe hapendi mabaya inakueje kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na kwanini amshushe duniani huyo shetani kwani wakati anamuumba hakulijua hilo vipi uwezo wake wakujua mwanzo na mwisho wa kila kitu kabla hajakiumba?
  8. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Je! Mungu ni yule yule?

    Hongera sana mleta mada nimejitahi kufatilia hii mada kwasababu kuna maswali mengi huwa najiuliza bila kupata jibu lakini sasa kidogo nimeanza kupata mwanga kidogo naendelea kufatilia labda nitapata jibu huko mbele heshima kwako Kiranga.
  9. Allibu m

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ole wake atakayeandamana bila kufuata sheria

    Kumbe hajakataa maandamano anataka tufate sheria safi sana IGP Sirro.
  10. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kucheza kamari au bahati nasibu nina maneno makali kwako, yasome na yatakusaidia

    Ivi ni nani alietuloga au alishakufa yaani uzi Kama huu kuna watu wanaona haufai pole mleta uzi wasikukatishe tamaa.
  11. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Dk. Hamis Kigwangalla aikana kampuni ya Qnet

    Sasa mtu kama yeye anapeteza muda kwenye kitu ambacho hakijui itakuaje kwa watu wakawaida.
  12. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Ivi unaanzaje kununua saa m.8 uje upewe bl.3 huu ni ujinga tatizo wengi tunapenda mteremko na miujiza.
  13. Allibu m

    JamiiForums Tanzania Vuta subira hili linakuja kutoka kwa ELON MUSK

    Ivi mars kuna usiku na mchana kama huku tuweza kwenda takaa mwaka bila kuona jua?
Back
Top Bottom