Recent content by Allbright

  1. A

    Same hairstyle kwa wanafunzi ili kuwafundisha uzalendo

    Uzalendo huwa hauzuki from nowhere. Uzalendo hutengenezwa. Ona Hii sasa! It could well be an Onion story. According to various media reports, all university men in North Korea will now have to get the same hairstyle as their Supreme Leader Kim Jong Un. The middle-parted, sides-shaved...
  2. A

    Mwanamke wa kiislam haruhusiwi kumpa mkono mwanaume?

    Ndiiiiioooo! A muslim women is a treasure only for their husband. Wacha kupewa mkono tu, yani a strange men hana hata ruhusa ya kuona beauty ya mwanamke wa kiislam, kwani its only permissable kwa mume wake tu. Ndo maana wanaojitambua wanavaa bulka ( jilbabi nä ninja usoni)
  3. A

    Hivi hili swala la zanzibar kuvunja katiba ya JMT sio tatizo kwa Jakaya?

    Ni anaogopa kuwaudhi wazenji au anataka wazanzibari wapewe haki yao, nä anataka nchi yetu iachane nä dhulma iliyofanywa kwa wazanzibari miaka chungumzima. Ndo maana ukiambiwa muongeze nä akili zenu kwenye kila mnaloambiwa, mnamuona JK mwehu. Tatizo mä mtu mengi yamekaririshwa muungano muungano...
  4. A

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Nataka ziwe covered na zipewe hadhi yake ya kuwa privates part mpaka kwa ambae ana ownership ( husband)
  5. A

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Utamu sio kuona peke yake, marijali wakiona hupeleka wanataka wamalize kabisa. Wewe unataka kuona tu peke yake?
  6. A

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Mimi nadhani hawa wanadada dada wanaopenda vinguo vifupi, dawa yao ni ndogo sana, ni kupunguza adhabu ya kubaka kwa yeyote aliefanya ubakaji kwa mwanamke ambae amevaa nguo za kutamanisha. Maana mtu anapokuwa tempted kwenye Hilo suala, huwa na akili kidogo inakuwa inahama kwa mda mpaka suala...
  7. A

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Na support vijana. Hii sio Amri ya museveni, ila karudia kusema maandiko ya mwenyezi mungu. Kwa kuwa ni Amri ya mwenyezimungu kwa wanadamu wote, vijana kuitekeleza huko mwanza ni sawa tu, hawakumdhalilisha huyo binti, ila walikuwa wanampa fursa ya kukaa uchi kabisaaa badala ya kukaa uchi nusu nusu.
  8. A

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Vitabu vya mungu vinasema Haya kwa ushoga: Cultic Homosexual Behavior? Leviticus 18:22 and 20:13 are also debated among denominations and scholars. Leviticus 18:22 - "Do not lie with a man as one lies with a woman; that is detestable." (NIV) Leviticus 20:13 - "If a man lies with a man as one...
  9. A

    Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    Kikwete si alitoa recognition ya Tanzania na mission iliyozifanya kwa uhuru wa Africa wakati wa mazishi ya Mandela?
  10. A

    The untold story of malcom x

    MalcolmX's dedicationto the truth is something to which all Muslims aspire. Posted by Rafiq A. Tschannen Epigraph: O mankind, We have created you from a male and a female; and We have made you into tribes and sub-tribes that you may recognize one another. Verily, the most honorable among you...
  11. A

    Halima Mdee: Mtaji wako nini hasa? Kawe maendeleo yamedorora miaka mitano sasa

    Hawa Jamaa wanadanganyaga sana watu, na hivi wa Tz wengi wanapenda kutafuniwa,ndo maana wanawaokota kweli kweli. Utashangaa mbunge anawaambia watu tutajenga barabara, shule, na tutawaletea maendeleo achanane na serikali. Wakati hio hio wanawaambia serikali haifanyi kitu kabisa, serikali ni wizi...
  12. A

    Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    Hio itakula kwake, wabongo wote sisi ni makachero, tena tunatisha kwa ufuku nyungu, ( inquisitive) sasa hao kabla ya Mission yao haija anza hata kazi, watakuwa wameshastukiwa.
  13. A

    Shule ya katibu mkuu wa chadema dr willibroad slaa majanga

    Kale kamtandao kaliko gawa maksi za watu fulani kwa tatu na wengine kwa mbili katakuwa hakakugawa hizi maksi za hii shule kabisaaaa ndo maana na yenyewe imo kwenye kuongoza ongoza.ila wigo sasa wa wanafunzi wake ni kama wa mwenye shule mwenyewe. Basi ni hayo tu.
  14. A

    Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

    Ilianza jina miaka ya nyuma, tulikuwa wachache sana sisi kuendelea na masomo ya mbele na juu zaidi, tuliishia chini sana kwa kufeli. Ila mungu akamtuma kigoma malima( mungu amlaze mahala pema peponi) akabadili System ya majina na kuwa namba. Baada ya hapo tukaanza kuona mmoja baada ya mwengine...
Back
Top Bottom