Recent content by alitu8

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anaetoa mafunzo kwa mbwa anapatikana,

    Je unahitaji mbwa wako apate mafunzo awe mkali na kuwa na uelewa mzuri,(nidhamu)?jibu lipo hapa,mwalimu wa mbwa anapatikana,ana uwezo wa kufundisha mbwa rika zote hadi akaelewa,tupigie 0769-183030 0685589505
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya tovuti (website designing) tunapatikana.

    Kwa wenye mahitaji ya Tovuti (website designing),Tunatengeneza Website kwa bei ya chini sana na bei zetu hutozipata popote pale kwingine, Je wewe una Duka, Hotel, Lodge, Hospitali, Pharmacy, Shule, Chuo au wewe ni Mjasiriamali na huna website?Je unahitaji kutoa huduma au kufanya mauzo Online...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa mbao ngumu za jumla

    Nitafute tuzungumze 0712223243,0685589505,0769183030
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Habari ndugu,ninafuatilia kwa karibu sana kuhusu ufugaji hasa huu wa samaki,naomba kujua nitapata wapi mbegu au vifaranga wazuri wa sato,nipo kigamboni dar es salaam
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye UKIMWI akitumia ARV hana tena uwezo wa kuambukiza wengine!

    nimefuatilia maelezo yako na maswali ya wengi na majibu yako, mim nina swali hapa,umesema mgonjwa anaetumia ARV uwezo wake kuambukiza wenzie ni mdogo sana yaan 4% na iwapo anatumia dawa kwa usahihi,na kuanza matumizi ya hiz dawa ni lazima kinga zako za mwil ziwe zimepungua,below 350 cells,je...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    wew ushamba umekujaa,alieongelea udini hapa nani,unachefua
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utapeli mwingine bhana.....duh!

    nadhan tumetofautiana upeo,huyu anajiona sahih kuliko yule shiiiit
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa kitanda ni sababu mojawapo ya ndoa kuvunjika

    ahahah dah ila ninachojua ni kwamba baba alikua na kitanda chake na mama anakitanda chake ila vipo chumba kimoja,kimoja kona hii na kingine kona ile so nlikua najua kuna kitanda cha baba na mama,huko kugusana hadi mmoja atoke kwa kitanda chake ahamie kwa mwenzake,hebu dhihirisha ukweli wa mada...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utapeli mwingine bhana.....duh!

    haya mapi na yahuyu ina kiharufu pia c ndio
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utapeli mwingine bhana.....duh!

    kwa kweli MAPI cjui kama ni yangu tu ila haipiti wiki mtu hasa w/wake ku wrong number kwangu(serious)
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba eti kisa na mgegedeo mkubwa!

    aipendayo....... wapi wakat wenye vibamia wanalalamika daily?ni sawa na mwanaume mfupi unambie anridhika na ufupi wake mmmh!
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba eti kisa na mgegedeo mkubwa!

    ushaambiwa utatoa ushuhuda kwa ulokutana nacho huku ni nomaa,kwanz hivo vibamia jamani cjui ni laana khaa
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba eti kisa na mgegedeo mkubwa!

    ahahahaha huku raha sana kama vip muwe mna tu PM tu nadhan ukirudi lazima uwashuhudie jf kwamba ni noma
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba eti kisa na mgegedeo mkubwa!

    ww kwel ni heaven on earth ahhahahahaha unafungukaaa khaaaa
Back
Top Bottom