Recent content by Alistalikopaul

  1. Alistalikopaul

    KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Hiyo bank itafanya watu waoshe vyombo hotelini. Mifumo Yao ikikaa sawa zitafanyika withdrawal za hatari
  2. Alistalikopaul

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Kwa namna kisukari kinatesa watu nchi hii tena asilimia kubwa walau wanauchumi wa kubadilisha mboga atakaegundua dawa inayptibu ndani ya mwaka tu anakua billionaire. Wapo wengi wanajisifu wanatibu kisukari ila mpka Sasa hakuna hata mmoja mwenye dawa inayotibu labda kupunguza makali tu.
  3. Alistalikopaul

    Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Ni swala linalowezekana ila muda WA mwaka ni ngumu hata kama huna mahitaji binafsi kama kula, kuvaa, makazi n.k
  4. Alistalikopaul

    OR-Utumishi itatuuguza afya ya akili wasubiri matokeo ya ajira

    TEHAMA IIIC kama hawakua na mpango wa kuwaajiri si wangesema TU. Hii kufanyisha interview halafu huajiri hata mmoja sio vzuri. Hata TEHAMA IIIB Walitangaza nafasi 50+ ila walioajiriwa hata 10 sidhani kama wanafika.
  5. Alistalikopaul

    Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

    Mm naona wew ndie MWenye matatizo. Umekua dhaufu mpka unafokewa na shemeji si ufala huo. Ukiendelea kua zoba utateseka sana watakuendesha kama gari bovu.
  6. Alistalikopaul

    UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

    Viongozi wao wanakamatwa saizi. Wanakamata vidagaa tu saizi wakubwa watakua washasepa
  7. Alistalikopaul

    UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

    Malipo yapo kwenye process, mafundi wanarekebisha mitambo server zimezidiwa, subirini Kila kitu kitakaa sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani kabla ya kulizwa kauli hua ni hizihizi hazibadiriki
  8. Alistalikopaul

    Hivi kuna ofisi ina urasimu na usumbufu kushinda ardhi?

    Hapo Bado faili halijapotea usubiri mwaka mzima
  9. Alistalikopaul

    Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Watu wapate posho halafu wapige kimya hutakuja kusikia majibu ya hiyo tume.
  10. Alistalikopaul

    KERO NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu

    Kwa hiyo uliamini maneno ya wanasiasa 😀😀😀😀. Watu mpka wanashindwa kulima upya pesa hawana na nfra hawalipi
  11. Alistalikopaul

    Kipindi Rais unaendelea kutoa mapesa kwa Taifa Stars, tukumbuke wakulima wa mpunga na mahindi ambao tumeuza mazao yetu NRFA

    Kwa huu uchumi wangu papatupapati siwezi kufanya biashara na serikali. Kama ni mtaji wa kuungaunga usithubutu kufanya biashara na serikalu utajuta.
Back
Top Bottom