Recent content by Alison Mremi

  1. A

    Harufu kali wakati wa kujamiiana

    Nawashukuruni sana wadau kwa mchango wenu juu ya tatizo langu! RIWA, KAPOTOLO na wengneo wengi nawashukuruni sana! Japo kuwa nipo mkoa wa mbali kidogo na mchumba wangu lakini niliweza kumshauri na kumsihi na yeye aingie JF hapa kwenye JF doctor ili na yeye aweze kugundua tatizo lake liko wapi...
  2. A

    Msaada-Adobe Photoshop!

    Mazd na mpangamji nawashukuru sana! Ebana kwel hizi tutorials ni ya ukweli! Subiri nizipigie shule sasa hv! Tanx!
  3. A

    Msaada-Adobe Photoshop!

    mzee wa loliondo ntaipataje hyo tutorial?
  4. A

    Ukiwa JF acha ujinga

    Hapa hakuna cha uzuri wowote! Huna uzuri wowote! Unaweka mpicha wako umepiga mipicha ya ajabu ajabu unategemea nini? Ulichokitafuta umekipata sasa lawama za nini? "Eti Waziri" mambo yako ya Pm yana2husu nini sisi? Cjui hta ni nani alikufundisha ku-click manake bdo unaonekana mshamba! PM Manake...
  5. A

    Msaada-Adobe Photoshop!

    Ni matumaini yangu kuwa wana JF wote ni wazima! Kiukwel wakuu huwa natamani sana kujifunza na kuijua sana Adobe photoshop! huwa naona wivu sana pale napoona baadhi ya picha zikiwa zimefanyiwa mautundu! Mara nyani kavaa miwani mara kichwa cha mtu kimevalishwa mwili wa nyani nk! Huwa natamani sana...
  6. A

    Msaada Anti virus

    Nawashukuruni woote kwa msaada wenu!
  7. A

    heeeeelp!

    Maybe messages zako zitakuwa zinaingia kwenye "screened messages" angalia menu hyo kwenye simu yako upande wa message!
  8. A

    heeeeelp!

    Maybe messages zako zitakuwa zinaingia kwenye "screened messages" angalia menu hyo kwenye simu yako!
  9. A

    Msaada Anti virus

    Ni anti virus yupi ni mzuri kuliko wote kwenye computer?
  10. A

    Msaada Anti virus

    Kwel bana coz nakumbuka ilikuw inaleta mambo hayo hayo ya leseni! Nitajaribu ku2mia modem tofauti coz yeye ali2mia ya zain! Je niki2mia ya zantel itanibidi nichukue bundle la saizi gani ili isije kukata kabla haijamaliza ku update?
  11. A

    Msaada Anti virus

    Kilimasera.... Nakumbuka wakati jamaa huyo anafanya installation hyo ilifika sehemu akaingiza email address yake afu akai2ma ndo ikaendlea kufanya installation! Nkamuuliza mbona ume2ma hyo address? Akasema kuw alinunua Orijino CD hvyo ni lazima a-post hyo anwan ili wamiliki wa hyo anti virus...
  12. A

    Msaada Anti virus

    Mkubwa kuna jamaa kanunua CD yake ya anti virus kaspersky 2010 na ina key zake! Je akishai2mia kwenye computer yake,je na mm ntaweza ku2mia CD hyo hyo na key zile zile ku-install kwenye computer yangu? Au itanibidi niwe na key nyingne? Na kma itanibidi niwe na key nyingne ntazipataje? Nisaidie...
  13. A

    Taarifa juu ya tiba ya Babu

    Yale yalioandikwa kwenye biblia ndo yanajidhihirisha wazi wazi! Mazee zile cku zilizoandikwa kwenye biblia ndo zinakaribia! Kaeni mkao wa ku2bu na kujiandaa kwa cku hyo! Sio babu tu, nackia kuna bibi ashapatikana tena huko tabora! Eti wameoteshwa ndoto!
Back
Top Bottom