Recent content by Alisina

  1. Alisina

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Madillu system-Colonisation.
  2. Alisina

    JamiiForums Tanzania Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

    Hapo kijijini , ghafla Simba au fisi akafanya uharibifu au kuondoa uhai wa Ndugu wa karibu au yoyote binadamu,Je, Uumbaji wa Mungu utaendelea kupewa sifa,na kusataajabu ukuu wake?Ukitafakari usinipe jibu kamanda Wangu. Juzi naingia kwenye chega Moja (chega -salon/barber shop),Rafiki yangu...
  3. Alisina

    JamiiForums Tanzania Tozo ya Shilingi 10 itawekwa kwenye kila kilo moja ya sukari kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa wote

    CCM Nchi ishawashinda, akili zao zimefikia ukomo.
  4. Alisina

    JamiiForums Tanzania Ukimtoa Lissu, John Heche ndio mwanasiasa mwenye ushawishi Tanzania nzima

    Anajitahidi katika Sanaa ya uzungumzaji, Kujenga hoja na kuwasilisha kukiendana na hali halisi ya Mazingira ya raia na Maisha yao.
  5. Alisina

    JamiiForums Tanzania Naona Man Utd tusajili Baleba asimame kiungo mkabaji. Tuachane na Elliot na Fernandes ambao bei zao zimepanda kama mafuta

    Mechi za mwisho mwisho za ligi nilikuwa naitazama man united,nilikutana bwana Mdogo mmoja "Gen z Wanaitwa" akamaliza form four/kidato Cha nne Mwaka jana.nilimshangaa kwa kusema anaipenda man united ile mbaya. Saizi man united Mtaani tunapoteza mashabiki wengi Vijana.Mpira wengi huwawashabiki na...
  6. Alisina

    JamiiForums Tanzania Naona Man Utd tusajili Baleba asimame kiungo mkabaji. Tuachane na Elliot na Fernandes ambao bei zao zimepanda kama mafuta

    Watoe Pesa hao familia ya glazer na mzee Ratcliff.Man united timu kubwa kukaa miaka 13 bila taji la EPL na bila nusu fainali ya UEFA champions league karibia Miaka 14 ni aibu kubwa mno. Toa Pesa leta wachezaji wazuri, biashara ya wachezaji ishabadirika Sasa si kama zamani
  7. Alisina

    JamiiForums Tanzania Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

    CCM Nchi isha washinda, mpo mpo tu kama wendawazimu.
  8. Alisina

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Yeah, na hii ndio hasara moja wapo katika nyingi hasara za Mfumo wa kijamaa.(Hasara/matokeo hasi ya ujamaa -Raia wanakuwa waoga sana dhidi ya viongozi wao, viongozi hujiona Miungu Watu, Raia Wengi wanakuwa hawana uthubutu wa kutosha wa Biashara & Ujasiriliamali, freedom of speech inabanwa,Brain...
  9. Alisina

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Kiangazii ya mwezi wa Saba Mwaka huu, kulitokea msiba Mtaani, siunajua tena mizizi ya ujamaa wa mwalimu Nyerere Bado imeshikamana kiaina. Hivyo kuhudhuria, kuwafariji wafiwa haina budi, Mtu asipotia mguu katika msiba kwa Sababu mbalimbali, Bado ataonekana roho katili,roho isio na utu,roho ya...
  10. Alisina

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Maneno ni tofauti na vitendo, Interview chache za kambona, zinaoneesha uwezo wake wa kutafakari na kuchambua mambo. "Smart". Hatuji kama angelichukua uongozi wa nchi (Rais) Nchi hii ingelikuwaje. Banjamin Mkapa katika kitabu Chake Cha my life my purpose, anasema, Oscar kambona alikuwa...
  11. Alisina

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Mh, Mbona umechelewa kuiona. Hiyo interview Huwa ninayo, nimehifadhi, nairudia rudia. Ulishawahi kuwekwa Jamii forums hapa, Miaka ya nyuma huko.
  12. Alisina

    JamiiForums Tanzania Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Haupo mbali na ukweli. Jk Nyerere=Socialist paradise/Communist paradise=Illusion paradise.
  13. Alisina

    JamiiForums Tanzania Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

    Who killed Jesus??. Sababu zipo nyingi, Moja ya sababu. Ukristo. Ukristo umesaidia sana kupalilia mbegu Ya, chuki kwa wayudi, Wayudi walimkataa Yesu-kristo, wakamsulubisha, wakamtundika , wakamuua, Wayahudi wameua kristo/masihi wa bwana, Mungu. Askofu wa sordi Melito karne ya aliyepata...
  14. Alisina

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

    Kuandika kwenyewe taabu tupu, unashindwa. Kazii bora ya elimu inayotolewa na CCM.
  15. Alisina

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Taarifaa Hii, ni ya kwelii??
Back
Top Bottom