Recent content by Alii.mohd61

  1. Alii.mohd61

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa simu wenye internet ya kazi zaid hii hapa

    Mikoa mingapi uliufanya Huu utafiti wako??? Jibu hili kwanza tafadhali... ndio tuendelee kukupa maelezo
  2. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Habari za miaka Wajasirimali?

    Mungu akipenda tutafanikiwa
  3. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Asante mkuu ...nitajitahidi kufata ushauri wakk
  4. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Habari kaka mimi Ni Mkulima ila cjawa mzoefu ndio kwanza nataka kuanza kutokana na darasa hili linalo endelea ...nitaanza na eneo Dogo tu la robo eka 1000m² ....nasari tayari nimeshataarisha ..kutokana na ugumu wa upatikanaji wa mbegu nimeamua kutumia mbegu ya Tanya ...na nasari nilitaarisha...
  5. Alii.mohd61

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na hawa vp tena

    Vp hawa nao www.teknokona.com
  6. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Pata blog ya kisasa kwa Elfu kumi(10,000)

    Mkuu hebu tueleze Faida ambayo mtu anaweza kuipata akimiliki blog ..kwa kuwavutia wanajukwaa zaid
  7. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Mkuu....Biashara2000 ...nashkur sana kwa kutufumbua macho ..ila nilikua nataka kuuliza mbegu aina gani ambayo unatumia
  8. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kupata faida unapotumia internet

    Ushawahi kulipwa mkuu???
  9. Alii.mohd61

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vodacom vifurushi vya unlimited wamebana sana

    Zantel wao wana 1GB kwa 450/= kuanzia saa 5
  10. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Add me 0777709491 whatssap
  11. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Nakopesha kwa riba

    Kwanza watu wanafuatilia mambo ...na kujua kiundani ndipo huja kuyazungumza mbele za watu ..nani alie wahi kwenda Islamic bank na akakopeshwa fedha kama fedha ....kama yupo ajitokeze..
  12. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Nakopesha kwa riba

    Kaka fuatilia misingi inayotumika huko Islamic Bank.... Than uje kuitetea hoja yako
  13. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Nokia E72 na E71

    How much
  14. Alii.mohd61

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habar yako docter pamoja na wana jf......nina mdogo wangu umri wa miaka 19 ....amefanya baka usoni ..kwa muda mrefu na kila cku linakua... ametumia dawa nyingi ila bado ...but wakati alipo enda hospital alipofanyiwa uchunguzi akagundika ni tatizo la ukoma ...kwa muda mrefu sasa zaid ya miezi 6...
  15. Alii.mohd61

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unda radio station yako

    Una uhakika?????
Back
Top Bottom