Recent content by Aliens

  1. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

    Kuhama ofisi haisaidii kwani huko utakapohamia unaweza ukavutiwa zaidi na engine kuliko Huyo. La msingi mkabidhi mungu maisha yako kama kweli unahitaji mabadiliko katika maisha yako
  2. Aliens

    JamiiForums Tanzania Maisha bila unafki hayaendi

    Wanatangaza amani nyuma wameficha mapanga
  3. Aliens

    JamiiForums Tanzania Asalam aleykum

    Waleykum salaam
  4. Aliens

    JamiiForums Tanzania Faces!

    Nimeona picha 11 but sura nyengine zinatisha kidogo kwa mfano hizi xilizijitokeza upande WA mawe na maji hazieleweki
  5. Aliens

    JamiiForums Tanzania Karibu uendeshe nasi

    Mbona kama njia ya kwa kina ynnah?
  6. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

    Siku zote thamani ya m2 ni kubwa kuliko hiyo mahari, kuna m2 anayeweza kumnunua m2 kwa wazazi wake?. Hivyo bac wanaume watambue kuwa mahari ni kama shukurani kwa wazazi au ni utamaduni flani ktk suala zima la ndoa na co mahari iwape kiburi na kuvuka mipaka.
  7. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wakike

    wanawake wavumilivu, wenye upendo, huruma na hofu ya mungu cku hizi hawana soko (kwa wanaume wasio na malengo). Wasomi ndo habari ya mujini
  8. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na minywele

    jamani tabibu mtaratibu mbona unataka kuwa tabibu mkorofi? Muache mwenzio akajifiche maana wakija wahucka patachimbika hapa. Hali ya hewa iki2lia ndo atajitoa huko aliko akupe majibu
  9. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huwa hivi

    au jamani darling kwani ni unapenda kuchepuka?
  10. Aliens

    JamiiForums Tanzania Ukiitoa Bikra ya Mwanamke unakua na hati miliki ya papuchi yake

    samahani mkuu kwa kuingilia swali lako na pia cwez jua mmezoeanaje kiac hicho but kwa jinc ninavyompenda na kumheshimu mama yng na kina mama wote duniani swali lako limenitoa machozi. Nakuomba ww na wengine 2cwapoint wazazi we2 ktk mambo km hayo.
  11. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni limbwata au mapenzi

    Mapenzi ni kusaidiana na kuoneana huruma, 2naweza 2kamwaga povu huku jamvini wakati ha2jui wakiwa kitandani wanaongea nini.
  12. Aliens

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    maskini mbavu zangu, umenichekesha mpaka natoa machozi
  13. Aliens

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    if you are happy, am happy, happy people!
  14. Aliens

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    wow! thanx lady furahia, unanifanya nizidi kufurahia
  15. Aliens

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    hakika namshukuru mungu kwani mimi si chochote bila yeye. Btw asante kwa kunitakia afya njema
Back
Top Bottom