Kabla hatujajibiwa na unaye mtaka atujibu,uwe wa kwanza kutujibu.
*Haya unayo yataka leo Lisu ayajibu yalitendeka chini ya serikali iliyo kuwa ikiongozwa na chama gani?
*Je leo serikali inayo taka tuipigie makofi licha ya kuto tupatia hata kile ilicho tuahidi wakati ikijinasibu kuyashughulikia...
Wanajukwaa kheri?
Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja issue ya upande mmoja wapo kutoafikiana na kitendekacho kuhusiana na shughuli kazi uliyo tiliwa...
Hivi kuna walio kwisha fahamu sababu za hao wafanyakazi kufukuzwa kazi mpaka ionekane kwa mjibu wa thread hii wameonewa ilhali hata maamzi ya kisuruhishi hata hayajatolewa?
Post sent using JamiiForums mobile app
Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Basi sawa. Tujivune taifa letu limebarikiwa sana mpaka tumepewa Petro wa pili hapa kwetu. Hakika tutatukuka dunia nzima nayo mataifa mengi kama si yote yatajengwa juu yetu.
Nimebaini kuna baadhi ya member huwa wanafungiwa kimakosa. Mtu unaweza jikuta unachangia kwa lugha isoyo kuwa ya staha kutokana na mada husika kukuchefua ama kuwa ya kukinaisha kiasi kwamba badala ya kufikiria huenda uelewa tunatofautiana ama ni mtu kafanya maksudi kabisa kwa kile aonacho yeye...
Nakubaliana nawe kwa 100% lazima penye kushindwa patashindishwa kwa namna yoyote na kuwaacha wachache sana kwa kivuri cha uwepo wa upinzani nchini kwa mataifa ya nje hasa makubwa.
Aliye tupoteza njia kwa maksudi ama kwa interest zake anao wajibu mkubwa wa kuturejesha kwenye njia iliyo sahihi na malipo ya ziada kwa kutupotezea mda kuliko yule aliye/anaye shauri njia ipi sahihi inastahili tuipite. Naye huyu aliye tupoteza hastahili kupewa pongezi kede kede kama inavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.