Uandishi wa habari ni sanaa(arts),ila mahojiano ni sayansi(science),katika kazi ya uandishi wa habari,changamoto kubwa tunayokutana nayo ni namna ya kumhoji chanzo kigumu(difficult source),mfano Marehemu Mchungaji Mtikila ama mzee Mkinga Mkinga!.
Chanzo kigumu anaweza kuwa mgeni ambaye...
HISTORIA YA MAREHEMU SAMUEL SITTA
Samuel John Sitta alizaliwa Desemba 18, 1942 huko wilayani Urambo Mkoa wa Tabora. Sitta alisoma Shule ya Msingi Urambo kati ya mwaka 1950 – 1953, kisha alikwenda Wilaya ya Sikonge mwaka 1954 - 1957 na kuendelea na masomo ya “Middle School” katika shule ya...
serikali yetu imesaini mkataba na serikali ya Uswisi utakaowezesha maafisa wa serikali yetu kwenda Uswisi kufuatilia mabilioni ya fedha zetu zilizoibwa na mafisadi na kufichwa huko. Tukumbuke kuwa suala hili lilikuwa danadana ya kisiasa kwa muda mrefu huku Mh Zitto Kabwe akilifanya ajenda yake...
Salaam wanajukwaa
Kiama cha Mabilioni ya Uswisi kinakuja
Tanzania na Uswisi zimesaini Mkataba utakaowawezesha Maafisa wa Tanzania kwenda nchini Uswisi kufanya uchunguzi katika mabenki ya huko ili kupata taarifa sahihi za watanzania walioficha mabilioni toka Tanzania,
Huu ni mwendelezo wa...
Manyerere alichomekea hilo swali kiujanja tu, usimfananishe Manyerere na waandishi uchawara wa udaku, Manyerere ni investigative journalist aliyesaidia hili taifa kuibuka madudu mazito ya ufisadi kupitia gazeti pendwa la Jamhuri
Unakuja hapa unabwabwaja kwa kutanguliza chuki zaidi...
Munyampaa kumbuka Tanzania mpya inaanza na wewe, tumpe ushirikiano mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa John Pombe Magufuli anyooshe nchi kwanza, mambo mengine Baadae
Wewe unataka sisi tujifunza kila kitu toka marekani? Haya ushoga wa marekani nao tuige na sisi?? Sio kila kitu wanachofanya marekani kinafaa kuigwa
Uandishi wa habari unaenda kurasimishwa kuwa Taaluma kamili, hongera waziri Nape Nauye kwa kutafuna mfupa wa miaka 20
Muswada wa sheria ya huduma za habari unaenda kufyeka wavamizi wa tasnia ya uandishi wa habari, kwa miaka kadhaa kumejengeka utamaduni kwamba kuwa mwandishi ni kujua kubwabwaja tu, Uandishi wa habari unaenda kurasimishwa kuwa Taaluma kamili, kwa wale ambao wanafanya kazi ya uandishi wa...
Muswada wa sheria ya huduma za habari unaenda kufyeka wavamizi wa tasnia ya uandishi wa habari nchini Tanzania, Uandishi wa habari hautakuwa kipaji cha kubwabwaja tena Bali uandishi wa habari unaenda kurasimishwa kuwa Taaluma kamili, kwa wale ambao wanafanya kazi ya uandishi wa habari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.