Nape awasilisha Muswada wa Sheria wa Huduma za Habari

Huu mswada hata kabla haujapitishwa na bunge umeshasainiwa na Rais. Anausubiri upitishwe na utapitishwa tu.
 
7645e43f9f6fd6ffcddfb15e8ba8502e.jpg

Moja wapo ni hii huruhusiwi kuandika wala kuuza habari mpaka upewe Lesen means wanataka kufunga midomo watu kwa maana unaweza pewa leseni Leo na kesho ukanyang'anywa na ndo ikawa mwisho wako ili kuepuka unatakiwa kuandika habari za kuwapendeza
Mkuu sijausoma huo muswada ila nasikia kwa mujibu wa huo muswada hata watu wanao post kwenye online forum kama hii jamiiforums lazima wawe wamejiandikisha kwenye bodi ya wanahabari, je ni kweli hilo jambo
 
Muswada wa sheria ya huduma za habari unaenda kufyeka wavamizi wa tasnia ya uandishi wa habari nchini Tanzania, Uandishi wa habari hautakuwa kipaji cha kubwabwaja tena Bali uandishi wa habari unaenda kurasimishwa kuwa Taaluma kamili, kwa wale ambao wanafanya kazi ya uandishi wa habari kwa mazoea kwamba ni kipaji warudi shule haraka au watafute kazi nyingine ya kufanya

Muswada huu ni mwiba mkali kwa waandishi makanjanja
 
Ndio maana umeambiwa hutoruhusiwa kutoa habari/kuuza habari bila ya kupewa lesen Mkuu! Na hasaa habari wanazoona wao haziko katika Ku support mlengo wao
 
Ni zaidi ya hivyo unavyoona Mkuu! Mswada huu hata haya majukwaa yataminwa vibaya mno
 
Muswada wa sheria ya huduma za habari unaenda kufyeka wavamizi wa tasnia ya uandishi wa habari nchini Tanzania, Uandishi wa habari hautakuwa kipaji cha kubwabwaja tena Bali uandishi wa habari unaenda kurasimishwa kuwa Taaluma kamili, kwa wale ambao wanafanya kazi ya uandishi wa habari kwa mazoea kwamba ni kipaji warudi shule haraka au watafute kazi nyingine ya kufanya

Muswada huu ni mwiba mkali kwa waandishi makanjanja
0586da4d7cbd692227c53cf8a9b05b7b.jpg
Tanzania itabaki kuwa na media stations nyingiiii zenye habari zinazofanana kuhusu serikali, bisha waziri achukue media Licence yako
 
Ile nguvu ya waziri wa habari iliyokuwa inalalamikiwa huko nyuma imeongezwa zaidi. Ili uwe mwandishi lazima uwe na leseni. Na kupata leseni lazima uwe na kiwango fulani cha elimu ya uandishi wa habari. Maana yake kuandika gazeti kwa watu kama Generali , Moreno etc watakuwa na limitation. Ukinunua gazeti na kukutwa nalo halafu Nape akaamua hiyo ni habari ya uchochezi unaweza kufungwa. Zamani sheri hii ilikuwa haimgusi mnunuzi bali mtoa hiyo habari, chombo cha habari, mhariri na publisher.
 
Ndio maana umeambiwa hutoruhusiwa kutoa habari/kuuza habari bila ya kupewa lesen Mkuu! Na hasaa habari wanazoona wao haziko katika Ku support mlengo wao
sawa, kwa hiyo sehemu kama hii JamiiForums itakuwaje ,yani watu wanaoleta taarifa hapa, au ndio itakuwa mwisho wa JF
 
Kuna mtu mmoja kasema hii press conference imefanyika kwa ile principle ya 'miluzi mingi.....' Hapa baadae leo na kesho focus itakuwa kwenye yatokanayo na press conference na baada ya hapo utasikia waandishi hawa hawa wanaanza kulalamika, hata yeye mwenyewe ni kama nimesikia akiwaponda!
Kinachosikitisha ni kuwa wahariri kama wa TBC, Daily News na Uhuru wanaona kama hii sheria 'haiwahusu' lakini wanachosahau ni kuwa Tido Mhando alikuwa TBC na sasa yuko chombo binafsi. Poor us!
Eleza mapungufu ya Muswada wa Vyombo vya Habari na kwa nini tangu 2011 hao wadau bado hawajawa tayari kuujadili? Huoni kuna maslahi fulani hapo yamejificha? Amka wewe mburula!
 
sawa, kwa hiyo sehemu kama hii JamiiForums itakuwaje ,yani watu wanaoleta taarifa hapa, au ndio itakuwa mwisho wa JF
Ngoja upitishwe uone itakuwaje, ni mapema mno kusema chochote
 
Ile nguvu ya waziri wa habari iliyokuwa inalalamikiwa huko nyuma imeongezwa zaidi. Ili uwe mwandishi lazima uwe na leseni. Na kupata leseni lazima uwe na kiwango fulani cha elimu ya uandishi wa habari. Maana yake kuandika gazeti kwa watu kama Generali , Moreno etc watakuwa na limitation. Ukinunua gazeti na kukutwa nalo halafu Nape akaamua hiyo ni habari ya uchochezi unaweza kufungwa. Zamani sheri hii ilikuwa haimgusi mnunuzi bali mtoa hiyo habari, chombo cha habari, mhariri na publisher.
Na ukienda kinyume na Matakwa ya Waziri leseni utanyang'anywa ubaki unatanga tanga, hahahaaa patamu hapo!! Yaani itakua full kujikomba
 
hakika nguvu iliyotumika ni kubwa mno.

Mtukufu anajua yote yaliyomo humo ndio maana kaahidi kuusaini mara tu utakapotua mezani kwake,, naona kamu attack mleta hoja badala ya ku attack hoja, hii ni njia za watawala kukudhoofisha usiendelee kuhoji..

kwa maoni yangu. sioni haja ya kuendelea kuwa na bunge.. itangazwe kuwa kwa awamu hii bunge limekuwa dissolved kwenye serikali.
Ungekuwa na busara ungejiuliza watanzania hivi bado tunaendelea na masuala ya deadline ya vyuo kuweka mambo sawa ama ujinga wa kutumiwa. Form 2011 till now we have not presented our view. We are joking and we are not serious. Let that bill go on tutafanya review if we need it.
 
mleta maada umesoma huo mswada au kelele tu kama umeusoma na unao tuwekee na sie tusome tuamue kwa akili zetu so za mbowe
 
Eleza mapungufu ya Muswada wa Vyombo vya Habari na kwa nini tangu 2011 hao wadau bado hawajawa tayari kuujadili? Huoni kuna maslahi fulani hapo yamejificha? Amka wewe mburula!
Sawa mimi ni mburula lakini jana tumeona waandishi wanaotoka vyombo visivyoulaumu huu muswada walichouliza.
Lakini wanaotokea sehemu zinazopingana nao pia tumewaona na hata mmoja wapo kaenda mbele zaidi na kusema kuwa anatokea JF ambapo kama una kumbukumbu ndio walienda hadi mahakamani kupinga sheria ya cyber crime na kilichotokea nadhani wewe usiye mburula ulikijua!
Hata mtu asiyeelewa si busara kupeleka muswada ambao wanaohusika nao wanaonyesha kasoro lakini hata walioupeleka wanasema 'tutabadilisha tu ikihitajika'. Ni kwa nini kama upeo wao ni kuona siku 90 wasiwakubalie wanaoona siku 900 mbele kueleza wanachodhani ni sahihi!?
 
Back
Top Bottom