Recent content by Alfred P.Masesa.

  1. A

    Fuso tipper inauzwa, ipo Tabora.

    Bei ni maelewano, inahitaji matengenezo kidogo. simu 0755280216. whatsapp 0764646211.
  2. A

    Toyota Coaster inauzwa, ipo Tabora.

    Bei ni maelewano tu. inahitaji matengenezo kidogo. simu 0755280216. whatasaap 0764646211.
  3. A

    Toyota Landcruiser inauzwa,ipo Tabora.

    Bei ni maelewano tu, inahitaji marekebisho kidogo. simu 0755280216. Whtasaap 0764646211.
  4. A

    Baada ya Vladmir Putin kuonesha hasira zake kwa Saudi Arabia mambo yapo hivi...

    mkuu Urusi siyo taifa la kawaida, wanajisumbua tu hawawezi kupigana na Urusi, wao wananunua silaha, Urusi inatengeneza za kwake yenyewe na inauza nje pia, Kama wameishindwa Israel miaka yote, Urusi ndo wataiweza? wanajitafutia balaa tu.
  5. A

    Gari, Toyota LandCruiser inauzwa Tabora.

    ilikuwa inanisumbua ku upload mkuu, anyway Kama unahitaji unaweza kunicheki Kwa whatsapp 0764646211 halafu nikakutumia picha zingine zaidi.
  6. A

    Gari, Toyota LandCruiser inauzwa Tabora.

    Bei ni maelewano tu, kuna vitu inahitaji kufanyiwa marekebisho. namba ya simu ni 0755280216. Gari yenyewe.
  7. A

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Mauaji ya albino yameanzia katika utawala wako, hadi sasa wameshauawa zaidi ya 70 na makumi wana vilema vya maisha, nimesisimka sana kusoma post ya wiseboy mwana JF mwenzangu,huyu kijana kwangu mimi tangu nimeanza kusoma post zake ni great thinker,anasema ameukana utanzania maana anahofia hasira...
  8. A

    Kila Mtu anaweza Kuwa Tajiri akitaka

    Mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana kuliko viumbe vyote duniani,mwanadamu ni muoga sana kuliko viumbe wote duniani,mwanadamu huyo huyo akiamua kuwa jasiri, ni jasiri kuliko viumbe vyote duniani, jambo ambalo wengi wetu hatulijui ni kuwa sisi ndo tuna dhamana ya kuamua hatma ya maisha yetu, kwanini...
  9. A

    Robert Mugabe awafukuza kazi walinzi 27 baada ya kushindwa kumsaidia wakati akianguka

    kvp hizi ni kampeni za magharibi? ingia ndani zaidi tukuelewe wote.
  10. A

    Riwaya Ya Kusisimua:Miss Bongo Movie Part -1

    Ilikuwa Majira ya saa nane alfajiri wakati nilipopigiwa simu na mkuu wangu wa kazi inspekta Haruni Majimoto,ndo Kwanza Usingizi Ulikuwa Umeanza Kunoga wakati mke wangu aliponiamsha,Japhet,Japhet amka mume wangu simu inaita,mke wangu ambaye muda wote alikuwa amenikumbatia alinitikisa kichwa kwa...
Back
Top Bottom