Tatizo ni pale ambapo huyu bwana nanihii anashindwa kujisahihisha mwenyewe na kuanza kumnyooshea vidole Pinda. Kwanza lazima tuone kwamba hatua zote alizochukua waziri mkuu wa kipindi hiko, jengo lilipo anguka changombe ndizo ambazo zimechukuliwa hapa. moja wapo kubwa ikiwa ni kufikishwa...
huyu si yule bwana nanii hiii ndio anaendeleza mipango yake. Kinachonipa shida hapa ni kwamba amejaribu kuipiga vita kilimo kwanza ameshindwa, amejaribu kupiga vita kila kitu ameonesha kushindwa sasa amehamia kwenye hili. swali langu kwake ni je! haoni kwamba watanzania sio wale wa zamani...
huyu si yule bwana nanii hiii ndio anaendeleza mipango yake. Kinachonipa shida hapa ni kwamba amejaribu kuipiga vita kilimo kwanza ameshindwa, amejaribu kupiga vita kila kitu ameonesha kushindwa sasa amehamia kwenye hili. swali langu kwake ni je! haoni kwamba watanzania sio wale wa zamani...
nashindwa kuelewa. Hivi tunashida gani sisi watanzania???? tuache kutetea ujinga hapa jamani. kosa la umeme kukatika bungeni peke yake linatosha kumfukuzisha mkurugenzi wa Tanesco. achana na hayo mambo mengine. Hivi kwani kabla ya mhando hakukua na wakurugenzi wengine????????? mbona umeme ulikua...
sasa wewe ndugu kama kweli unania ya kumuuliza Mtoto wa mkulima hayo maswali na kama kweli unania ya kujibiwa na huyu bwana hayo maswali unategemea atakujibu hapa????? kwanza sio member wa JF. Nalazimika kuamini kwamba unania nyingine na sio kuuliza hayo maswali na kujibiwa hayo maswali pole...
AAAaaahhh mbona wazushi nyie. Mheshimiwa peke yake ndio yuko karibu na Waziri Mkuu. Kagame yuko nyumaaaaaaa, Museveni yuko pembeni ya JK mbali na Waziri mkuu. Jamani tuache majungu. Mnashusha hadhi ya hii JF. Badala ya kuwa home of great thinkers inakuwa home of gossipers. shame on you!
Wana JF napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza gazeti la mwananchi kwa kuwa gazeti la mfano katika siku za hivi karibuni. mfano wa kuigwa wa mwanachi kwa magazeti mengine. hivi karibuni kuna gazeti moja lilitangaza katika ukurasa wake wa kwanza juu ya kupanda kwa mishahara ya wabunge na siku...
sasa ndugu tamisemi kuna waziri, na manaibu mawaziri wawili. Wote hao hawatoshi??? Bado afanye pm?? Ni sawa kweli? Tanzania itafika tunako taka iende kweli?? Kazi ya hao wote nini??? Kupanda vx na ac?? Namna hii mtamchosha pm na hataweza kufanya mambo ya maana kabisa kabisa. Kama ndivyo basi...
Anaongea ukweli huyu mbunge wapika majungu ni wengi sana, wenye nia ya kuchafua viongozi mara utasoma mbowe kafanya nini, sijui slaa kupotoka, mara pinda sijui katupiwa kitenesi, mara zito hajasoma bajeti vizuri wengine watakwambia jk sijui kafanya nini lakini vyote vikiwa ni nia ya kuchafua na...
Mbowe hajawahi kuona chama chake kinapata kuungwa mkono kama kinavyoungwa mkono sasa hivi hivyo ndio maana anadhani anaweza kuchukua nchi 2015. Lakini tatizo ni sura na mtazamo wa watu juu ya chadema hivi leo unaosababishwa na kauli za baadhi ya viongozi wa chadema kama Nasari kusema kaskazini...
Sasa kila kitu bungeni akiwa anajibu waziri mkuu mawaziri wengine wanakazi gani?? Hio ni kazi ya waziri wa fedha ndugu. Ndio maana suala la madeni ya nje na kila kitu anahusika yeye. Waziri mkuu huja kuongeza tu kama kuna ulazima. Au la, subiri PM's question and answers time. Sijui kama unania...
sasa kununua hekari mbili kuna mgongano gani wa maslahi? basi kama ni hivyo viongozi wote wa Tanzania kuanzia mwalimu na wengine wote wana mgongano wa maslahi kwa maana wote walimiliki hekari kadhaa. Tena mwalimu aliku na shamba kubwa tu..
mimi nashangaa sana nchi ya watu wenye uchochezi na majungu, ndio maana hatuendelei kwakweli, kipindi hiki ambacho kuna bajeti dodoma ungetarajia watu wajadili bajeti lakini badala yake watu wanajadili eti kiongozi kanunua heka mbili anashindana na mtoto wa kiongozi. hivi sisi watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.