Recent content by alfred mathew

  1. A

    JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Safi sana maana wanaojifanyaga wasafi ndio maandazi kabisa hawa viumbe ukiwafikiria sana utachanganyikiwa , Pumbavuu mfunze adabu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya mwalimu Nyerere, Tundu Lissu ndie mwanasiasa mwenye influence kubwa kwa sasa

    Hahaha wanamwita kaka wa taifa " Brother of all nation "
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Askofu Kakobe, ningecheza hivi na TRA !

    Kwa hiyo mtu asijisifie ana hela kama anapata pesa zake kihalali anaweka benki mnamsumbua ya nn acheni kuongozwa na chuki mwongoze kwa haki na kufata sheria
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ukibishana na ushauri wa kiongozi wa DINI ukabaki na ukoma mwilini milele

    Asante nimechoshwa na yanayoendelea
  5. A

    JamiiForums Tanzania Acha CHADEMA ilipie makosa ya hisabati za kisiasa

    Upinzani utaendelea kuwepo no matter what
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuacha ila namhofia mwanangu

    Haya mambo ya ndoa magumu ila kwa sababu bado hujamwoa angalia maamuzi yenye manufaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kama leo hii CHADEMA wangeshika nchi sijui ingekuwa kwenye hali gani!?

    Mi sioni cha maana zaidi jamaa kakazaa kwanza mwenyewe hashauriki, tumpeni muda huyu mpaka 2020 tuone itakuaje
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Kwanini wafunge barabara aisee so wakasali ndani ya maikiti mbona sheria hairuhusu kwa nn wahusika hawakemei mpaka mtu aje jf ni aibu kwa watawala wa eneo husika kama eneo ni dogo watafute mahala pengine pa kuabudia hiyo ni barabara sio msikiti
  9. A

    JamiiForums Tanzania Fisi is a Fisi at any age....

    Hatari aisee
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Uwepo wa shetani na matendo yake mabaya
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwonekano bomba Unalipa

    Kwel
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Mkuu hamna dharau mbaya kama hiyo yani mke wa MTU anarudi SAA nne usiku ?? Yani umemchelewesha nakuambia isitoshe hana hoja ya msingi. Wanawake wengine wanachepuka lakini wako kaongeza na dharau
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Nachukia kila mahali tu "mh rais " hapa umeniboa kweli
  14. A

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Hongera kaka Moyo wa ajabu sana huo
Back
Top Bottom