Recent content by Alfred Kikara

  1. Alfred Kikara

    Mtatiro: Nawakumbusha vijana hasa wa CCM kuwa vyeo siyo maisha

    Mh.Mtatairo kuna maneno yanasema kwenye biblia kuwaa, "Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu"Hawa vijana wanasahu kuwa cheo ni dhamani tu.
  2. Alfred Kikara

    Maziko ya Mbwa wa Nassari yalivyowakera WanaChadema

    Niito Ole Saiforani,mtu hachaguliwi rafiki umeamua wewe hayo ni mawazo yako.Nimeshaona mlengo wako.Wewe unapigana na mtu amabaye amefungwa mikono na miguu kwenye mti halafu unajisifu kumpiga nitakuita mpumbavu.Mnavunja sheria kila iitwapo leo halafu unaleta majungu yako hata hamuogopi...
  3. Alfred Kikara

    Tatizo la umeme kuwa historia? Mitambo mipya yawasili Kinyerezi II

    Radial la Tanzania hatujui maana ya kazi,na zaidi sana tunawaza kula kabla ya kazi,zaidi ya yote mtanzania ukimshauri anaona kama unamndolea heshima.Bila kujua maana ya jazi wimbo ni uleule.
  4. Alfred Kikara

    Korea Kaskazini: Maporomoko kwenye mahandaki ya kujaribia nyuklia yaua zaido ya 200

    Hiyo ni Babeli nyingine ya Korea Kaskazini itaanguka tu
  5. Alfred Kikara

    Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Kwa namna hii nchi haiwezi kipona CCM ni kichaka cha ufisadi kwa kuwa kinashika dola.Kwa namna hii wa uovu wa mtu kionekana akitoka CCM ni janga,na hapa mzizi ni KATIBA ya rasimu ya mzee Warioba.
  6. Alfred Kikara

    IGP Sirro: Wasiovaa kofia ngumu tutaomba mahakama iwanyime dhamana, wakae jela wiki mbili

    Haya maamuzi mengine yasiyofuata sheria ndugu zangu,tumefikia mahali pabaya.Watanganyika tumejaliwa na Mungu kuwa wavumilivu sana tu,lakini watawala wetu mnaitumia dhamana mliyopewa na Mungu kinyume na mapenzi ya Mungu.CHEO NI DHAMANI.Na kumbukeni kiapo mnachoapa wakati mnakabidhiwa mamlaka...
  7. Alfred Kikara

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Taifa linaenda mrama,badala ya kukemea haya wanayoyafanya watawla mnabakia kudakia yasiyoya msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Alfred Kikara

    Magufuli atembelea shule aliyosoma (Katoke Seminary),atoa milioni moja kukarabati dirisha alilovunja

    Hata kama aliharibu ni mungu huyo hawezi kuonywa,ndiye amiri jeshi mkuu na ni mwenye mamlaka yote yapa Tanganyika. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Alfred Kikara

    Magufuli atembelea shule aliyosoma (Katoke Seminary),atoa milioni moja kukarabati dirisha alilovunja

    Yatafichuka mengi tu tusubiri. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Alfred Kikara

    ADC wamjia juu Lissu

    Halafu wanadamu wengine bhwana ni wa ajabu sasa ADC mnatafuta nini?.ADC ni nani?.Kwanza mmejitokeza wala hamjamwelewa vizuri fuatilieni vizuri maelezo aliyoyatoa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Alfred Kikara

    Walidhani Ezekiel Wenje na Lawrence Masha hawatoki kanda ya Ziwa?

    Kila mtu ana haki kikatiba kutoa mawazo yake.MsemajiUkweli wewe ni mwongo na wala hujaelewa hija za Mh.Lisu,wewe kula tu,kwani mimi nimkuelewa.Jihadhalini na hayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Alfred Kikara

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Mtu akishazoea usaliti ni msaliti milele.Rushwa imewapofusha fikra. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Alfred Kikara

    Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

    Wewe unaagiza akamatwe kwa amri ya nani?yaani mmejimilikisha mamlaka tu wala hamufuati sheria,na wewe ukamatwe mzushi wewe.Ndiyo maana mnakosha ushirikiano ktk tafiti. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom