Recent content by alfakonisaga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kamanda wetu mpya Afande Sele kwenye mkasi EATV leo usiku

    wala sikuyaona,tanesco mmmmmh
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

    utalala tuuu sema hujapewa fursa.hata hizo unazolala wengine waziona expensive.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    kweli wachungaji nao wanahitaji kuchungwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

    Sheria ni sheria hata kama wasimamizi walichelewa kutekeleza.Zoezi la kubaini wahamiaji haramu si haramu kutekelezwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Yeye ni muwazi anaeleza kile alichokifanya wakati ule jamani!!!!!hata wewe kumbuka historia yako uiweke basi.....
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Sio Maliyatanga bali MAJIYATANGA
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Phares Kashemeza Kabuye Yohana Mazengo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Which Country do you Think has the Most Corrupt Officials

    A well organized research is needed to site out the officials and not thinking.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    Kweli asiyejua maana haambiwi maana.Hawa fastjet ni wafanyabiashara kama wengine tu.Kama unaelewa kuwa tiketi za ndege huwa zinaenda na season huwezi pata shida hata kidogo.Wao wako kibiashara na sasa ile promotion yao ya 45,000/=nadhani tutaisikia kwenye matangazo yao tu.Nilienda ofisi zao...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

    ha ha ah unahitaji maombi weye na mkeo kwa pamoja
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwana UAMSHO akipata stimu kabla ya kuwakabili NGUNGURI

    Watu wa tukuyu maeneo ya Mwambegele au Rusumo maeneo ya Ngara mpo?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa 2015 - Watanzania fungueni macho, masikio na akili zenu

    Kukata tamaa ni woga mbaya sana.Hebu kumbuka ulidhani Mkapa angeweza ku-make it 1995 na jinsi alivyosaidia kiunua uchumi wa watanzania na sio takwimu za uchumi wa Tanzania?Watu wapo tatizo ni chaguo sahihi
Back
Top Bottom