mbona tunakufahamu wewe unafikiri ukitumia ID ya TUNTEMEKE ndiyo
itakubadilisha uhalisia wako? utakufa kwa majungu dogo kwenye umri
kama wako unatakiwa ujitume ufanye kazi siyo majungu.
we hamna siku umeleta mada hapa bila kumtaja D.slaa hata kama ingekuwa kweli kamwe hawatakuamini watu...
hiyo kichwa chako kimejaa matope kabisa
hata hayo mahojiano sijui ulikuwa unahojiwa
ukiwa umelewa kwa uzoefu wangu ulikuwa unajihoji mwenyewe
ukaamua kutuletea pumba zako hapa.
namshauri ZZK aelekeze nguvu kubwa kwenye M4C na ikibidi azunguke mikoani kama enzi za operesheni sangara
na awapuuze vijana wanaoshinda humu jf kumgombanisha na viongozi wenzake. bigup ZZK
''FUATA MISINGI USIFUATE WATU''
Jitahidi labda utaeleweka lakini navyoona umeshachelewa tafuteni lingine watanzania shida yao siyo kadi ya chama fulani, wanachotaka namna gani ya kutatua matatizo yaliyo mbele yao
hivi zitto sanasana kafanya nini kukijenga chadema?nachojua ni mlevi wa misifa na kujipendekeza kwa watawala tu hamna cha maana cha kumfananisha na slaa na yy analifahamu. Mbona kuna kina lisu hawajigambi na wako chadema na wana mchango mkubwa kupita zitto, huyu kijana lazima kuna wire...
wanakuwa na kiburi wakiwa ndani ya chama, wakishafukuzwa hawana ubavu tena
chadema mnalea matatizo hata huyo zitto mnamuonea aibu at the end atawagharimu sana
should take action now
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.