alexander1
Member
- Dec 20, 2012
- 10
- 1
wahuni watajichuja tu, na boss wao anajulikana kashaanzisha CHAUMA sijui anasubiri nini kuondoka cdm
kwako ukimya si tatizo ,kwangu ukimya ni tatizo . REMOTE inafanya kazi.Hili ndilo naliona tatizo kwako kwa kufikiria kuwa viongozi kuongea ndiyo suluhisho - ukimya nao ni hatua stahili katika matatizo mengine.
UHUNI, ni jina zuri saana kwa mtu au watu wanaokwenda kinyume na taratibu walizojiwekea. CDM/ CCM wanataratibu walizojiwekea, panapotokea tuhuma mbalimbali mara tu, mwanachama au kiongozi au mpenzi anapozipata tuhuma hizo, inajulikana wapi? zipelekwe kwa ajili ya kurekebisha , kuziondoa au kubaini kuwa haya ni majungu. lkn kwa kwa hili sakata binafsi naona kuna REMOTE sehemu fulani, kazi yake kuminya na kuchagua channels, kwanini? viongozi wamekaa kimya, kimyaaaaaaa, kama vile hakuna kinachoendelea. hakuna maamuzi ya kichama kuna maaamuzi ya kimtu binafsi, huku swala hili likimuhusisha kiongozi mkuuu kabisa wa chama. nadhani viongozi wengine mnazo REMOTE mkononi tafadhali ziwekeni chini, jitokezeni wazi kushughulikia tatizo kwa maana ya kuliondoa,kurekebisha au kubaini kuwa ni majungu kwa ustawi wa chama. au kujulikana kabisa vita hivi mimi muhusika kwa sababu hizi. MWL NYERERE ktk moja ya hotuba zake ,alisema wananchi wanaimani na CCM, lkn wakiona haikidhi matarajio yao, watatafuta kwenye vyama vingine. akasisitiza kiongozi mzuri hawezi kutoka nje ya CCM, kwa matendo haya YAWEZEKANA KUNA UKWELI. mwisho CDM kimeasisiwa na MH MTEI na BOB MAKANI [R.I.P] baada ya kukisimamisha chama, wakapeleka sera zao kwa MWL NYERERE akazisifia, baada ya hapo chama kilikuwa na nguvu ya kawaida kabisa ,ndipo mh Mbowe alipoamua kukipeleka chama ktk mtizamo kwa kumvuta mh ZZK kwa pamoja wakaimarisha chama. mh Slaa hakuwemo ktk vuguvugu la kuimarisha chama bali yy alikuwa na nguvu jimboni kwake hivyo ule mwangwi wake ulisaidia kwa namna fulani. lkn kwa maana ya mguu kwa mguu chama kiimarike wapeni sifa zao MH MBOWE na MH ZZK. namalizia kwa kusema UHUNI upo pia kwa viongozi wamelala huku wameshikilia REMOTE .
Ukiisha bila kuathiri afya ya CHADEMA litakuwa jambo jema sana kwa wapenda mabadiliko ya kweli katika maboresho ya siasa za Tanzania.Mwisho wa uhuni wao umekaribia.
Hili ndilo naliona tatizo kwako kwa kufikiria kuwa viongozi kuongea ndiyo suluhisho - ukimya nao ni hatua stahili katika matatizo mengine.
Ben wewe hutabiriki na huaminiki, ulianzisha kundi la kusaliti CHADEMA baada ya kugundulika ukajifanya mwema. Sijui sasa hivi umeanzisha kikundi gani cha isaliti kingine?
"" Wahuni" naam;hilo ndo jina sahihi ambalo mimi ninalichagua kwa baadhi ya vijana wasio na nidhamu kwa Chadema na baadhi ya viongozi wake wanaoongoza harakati za kukikongoroa chama hicho kwa kigezo cha kudai demokrasia, wanapaswa kukumbuka kuwa Mwangosi alikufa kwa kuuawa kinyama na polisi wakati akitekeleza majukumu yake ya kuhabarisha umma kuhusu harakati za chama hicho.
Lakini wanapaswa kutambua kwamba Chadema sio Dr. Slaa, Zitto wala Freeman Aikaeli Mbowe pekee bali ni chama ambacho kinaonekana miongoni mwa watanzania wengi kama kimbilio la wengi pindi wakiamua kuitosa ccm.
kwa hiyo ni vema, kwa wahuni hao wanaotumia mwamvuli wa Bavicha, kutambua kwamba kwa kiasi kikubwa mafanikio ya Chadema yametokana na Dr,Slaa hususani alivyokiwezesha chama hicho kifanye vizuri" relatively" katika uchaguzi mkuu uliopita na kuonekana ni chama kinachopigania maslahi ya umma badala ya maslahi binafsi.
sasa wahuni hao wanapokoroga mambo kwa vile tu wanamtu wao wanayemtaka agombee urais katika uchaguzi mkuu ujao,wanapaswa kufahamu kuwa wanao wasaliti ni mamilioni ya watanzania wenye imani na chama hicho." by EVarist Chahali-Uskochi
ni mawazo yako, nayaheshimu, kama ww ni CDM nakupongeza kwa kudhania kuwa kila asiye na mawazo yanayofanana na yako ,basi hayuko upande wako. kwa msingi huo mtajenga chama imara. chenye mlengo wa ndiyo mzeee.Mbona hili ndilo lilikuwa objective kubwa ya masalia? Naona wewe bado unaendeleza strategy....Hahahaaaaaaaaaaaaa mafisadi yenye magamba na masalia yenu mnakazi kweli kweli....
Again hear me and hear it very clearly, your dooms day is arround the corner..watch and see!
We sema tu upo kambi ya Dr.Slaa tu tutakuelewa.
Eee we ni mnafiki tunakufaham siku nyingi sana,ni mlamba nyayo za mabwana kwa kutafuta cheo. Rejea ulivojipendekeza kwa kilawa ili akupe uwaziri wa mikopo udsm.
unapenda kujckia na kijiona wewe ndo wewe.
Hapo chadema sio bure,wayafuta cheo.
kuwa heshima bila uhuru ni utumwa, lakini uhuru bila uhuru ni vurugu. Mkuu ingefaa isomeke UTII bila uhuru ni utumwa, lakini utii bila mipaka ni uendawazimu.
Nimesoma Makala ya Evarist Chahali nimefurahi sana.Ni makala nzuri na yenye ushauri mzito.