Recent content by Alexander K Alistides

  1. Alexander K Alistides

    Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Hyo BOQ ameanda nan??? Is he qualified one?? If yes, supeevision ya hapo site ipo vp. Fluctuations za cost zinasababishwa na QS mwenyewe au supervision ya site. Kama usimamizi wa site s mzur hapa boq inabaki kuwa makaratasi tyu. Ktyu kingine n khs used form works Hz zinaweza ziwe imara au...
  2. Alexander K Alistides

    Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Ndugu zangu naona tunakwenda kudanganyana na mwisho kupotezana. Ninachojua n kwamba ardhi yoyote inasupport kujenga nyumba ya aina yoyote, design yoyote. Cha msingi ukisha kuwa na wazo la kujenga nyumba kama hiyo(ghorofa) unatakiwa ufanye soil investigation ikiwemo CBR. CBR itakusaidia wewe...
  3. Alexander K Alistides

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Mkuu, nimekutumia private massage, naomba uingie usome kama hautijali. Ntashkr nkiona feedback. Asante
  4. Alexander K Alistides

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Mkuu, nimekutumia private massage kama hautojali naomba uingie na usome mkuu. Ntashkr kuona feedback
  5. Alexander K Alistides

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Tatizo la weng n hili, maelezo yanasomeka na kueleweka but how to perform practically. Tunaanza kutofautiana hapoooo
  6. Alexander K Alistides

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu mada kama hz n nzur sana, kuna watu wanaingia kusoma na kupata ideas hvyo n vema yakatolewa majibu yenye kujenga na kusaidia. Sisi wote n watanzanzania inabd tusaidiane vile tuwezavyo. Naona kama kuna watu wengine hawako serious vile. Ninaamn humu wako weng wenye mawazo mazur sana ya kujenga.
  7. Alexander K Alistides

    Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Ww n nan usikubal kushndwa?? Una roho gan?
  8. Alexander K Alistides

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kiufup cost estimation ya nyumba haiitaj kubuni japokuwa inaitwa cost estimation. Among factors ni kujua squaremetre za jengo lenyewe, plan ya nyumba, aina ya finishing, umbali wa materials had eneo LA site nk. Kufanya baadh ya survey za materials costs. Kitu kingine n kwamba, kuongezeka au...
Back
Top Bottom