Recent content by alex255

  1. alex255

    Naomba kujuzwa ubora wa Ipsum New Model

    IPSUM, Ni family car ambayo inauwezo,wa kubeba abiria 7, na space ya mzigo nyuma ikabaki. IPSUM NEW MODEL SPECIFICATION ZAKE ...ENGINE CODE....2AZ...VVT i ...CC 2390 ....ZIPO ZA 2WD...NA...4WD ...GARI INA CONFORTABILITY NZURI WAKATI WA SAFARI NDEFU NA FUPI PIA PULLING YKE NI NZURI KWA KWELI...
  2. alex255

    Msaada katika gharama za utengenezaji

    Wapelekee TTR group kule mikochen wpo vzr sana, apo bei maelewano too
  3. alex255

    Howo Vs Scania

    JIULIZE SWALI DOGO TOO, TRANSPORT COMPANY NYINGI APA BONGO ZNA MILIK SCANIA CHACHE, LKN HOWO LUNDOO, UTAKUTA COMPYA INA FLEET YA GARI 300, ONLY 45SCANIA, THE REST HOWO OR OTHER MAKE. SO HOWO ARE THE BEST, KWA MTAJ MDOGO
  4. alex255

    Nataka kununua gari ushauri wa kitaalam

    Czan kma usha wai fanya research ya kutosha mkuu, au ndio nyie mtu akimilik gari ata vitz mnadhan kanunua mil 50
  5. alex255

    For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

    Jamaa ameongea fact. For example umepata ttzo la ghafla usiku wa manane, like mkeo au mtto wako anaumwa inabidi umkimbize hospital, kwa bahati nzuri jiran yko anamiliki gari, unaenda kumgongea mrango unafunguliwa zen unaeleza shida yako, kwa bahati mbaya jiran yko kumbe amesafiri na ameacha...
  6. alex255

    Nataka kununua gari ushauri wa kitaalam

    Husika na lengo tajwa, nataka kununua gari ndogo na mapendekezo yangu binafsi ni kama ifuatavyo 1.Funcargo 2.Porte 3. Vitz 4. Sienta 5. Ist Je?, kwa wenye uzoefu juu ya gari tajwa apo juu ipi ipo confortable kuliko nyingineyo katika mapendekezo yangu(ushauri wenu pls) My budget range from...
  7. alex255

    Ushauri

    MURANO Made by NISSAN company mkuuu
  8. alex255

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    unaongea ukiwa huru sababu msiba aujakupata wwe think nje ya box or vaa uhusika.
  9. alex255

    Logistics and Transport Management Vs Procurement and Logistics Management.

    <br />Sawa unafanya katika shipping coy lakini suala hapa ni kwamba, procurement and logistics imejikita katika kumuandaa graduate kufanya kazi zaidi kwenye procurement sector kuliko kwenye logistics.<br />Sio lazima ufanyie kazi ulichokisomea, ndo maana nasema kila graduate kati ya procurement...
  10. alex255

    Logistics and Transport Management Vs Procurement and Logistics Management.

    facts[emoji114] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji114] Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom