Ila mimi swali langu ni kwamba walimu waliojiriwa katika awamu hii ni wachache.Waalimu wengi ni wale wale wa toka kipindi cha kikwete mbona kuna shule za serikali zilikuwa zinajitahidi?
Mtoa mada tunakupuuza tu kwa sababu (no research no right to speak) Na mambo ya kufanya maamuzi bila research ndo yametufikisha hapa tulipo so ni bora tutulie ifanywe research ndo tuamue
Ishu ni hivi huwezi kuchuja waalimu na wakati hata huyo mbovu huna je ni shule ngapi za kata vijijini hazina walimu wa sayansi na baadhi zilizonazo unakuta mwalimu mmoja ana madarasa kibao. Suala lingine mazingira mabovu kuanzia ndani ya shule mpaka mtaani wanafunzi wanapoishi. Kuna swala la...
Mimi bado namlaumu ndalichako kwa sababu yeye ndio mwenye dhamana ya wizara kama akiona serikali inamwingilia sana ana haki ya kukemea na kama hawajirekebishi ajiuzulu ili wakiaribu yeye awe pembeni, atuwezi kwenda kwa dizaini hii kila mtu anaamua.
Msilete bla bla nyingi ishu ni kwamba UDSM kwa sasa hivi imebaki jina tuu. UDSM ilitakiwa iwe kwenye kumi bora uko kama wenzetu wa Nairobi university (9) ila mnatutia aibu Tanzania Chuo ni kikongwe bado kinashika nafasi ya 36
Tatizo kubwa watu hawapendi ukweli ukiangalia alichokifanya ndalichako ni nini kama sio kila siku kubadili grade, ulishaskia kampeni yoyote ya kuboresha elimu, shule hazina waalimu wa sayansi, miundo mbinu mibovu cha zaidi anaruhusu siasa zinaingilia wizara yake na kuchonganisha wazazi na...
alafu suala ni kwamba mtu anavyozidi kutoboa ndio hadhi yake inazidi kupande hata payment inabidi iwe tofauti sasa wao walitaka kumkandamiza jamaa kisa walimtoa so jamaa kawakataaa then wanaona ni dharau
Ila tatizo kubwa linatokana na baadhi ya wasomi kukubali kuzisaliti profession zao na kufuata matakwa ya mtu tumeona kwa wenzetu kenya majaji wanafata haki hatakama iko against na wakubwa ila bongo watu hawaelewi maana ya profession
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.