hakuna majina hewa kutoka bodi ya mkopo ila wewe ambae ulienda chuoni na hukukuta jina lako halipo jichunguze vizuri ulikubaliwa na vyuo vingapi na kipi kilikua cha kwanza kukuchukua? maana kuna watu awamu ya kwanza walichaguliwa chuo kimoja lakini wao waliomba kiubishi mara ya pili na...
hakika engneers wote waliotoka DIT na wanaoendelea kutoka hapo huwa hawana mchezo kazini na huwa wapo tayari kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi kwa wakati au kabla ya wakati
Jamani bodi ya mkopo mtuhurumie sie maana semister jumatatu ndio inaanza na hadi saivi kuna baadhi ya vyuo havitupokei kwa sababu hatujajua hatima yetu kwenu. hivyo tunaomba mya post ayo majina basi maani toka mwezi wa tano bado tu mnayafanyia utafiti?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.