Recent content by Alex Mbwilo

  1. A

    Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Mbona watakuwa wengi sana ambao baba yao atakuwa ni " Hajulikani":D:D:D
  2. A

    Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

    Hiyo ni kazi kama kazi nyingine kama kukaa kwenye jua kuna askari anaona sio mchezo basi iache kazi hiyo ili wenye uwezo nayo waifanye. watu wanalima na mvua nini jua.
  3. A

    LATRA simamieni sheria, mabasi yote yapakie na kushusha abiria kwenye stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Stand ya Magufuli kwa ovyo kabisa, miundo mbinu yake haijazingatia hali za makundi mbalimbali na ni gharama kubwa kuanzia safari katika stand ya Magufuli, mfano ukishushwa stand ya dalala mbezi kama una mzee ambaye hawezi kupita kwenye kivuko cha kuingia stand utalazimika kuilipa bajiji shilingi...
  4. A

    Naliona anguko la CCM mwaka 2025

    Kwa maoni yangu kama Raisi Samia Suluhu Hassani akiwezesha mabadiliko na kuwezesha kupatikana kwa Katiba mwafaka, kuna uwezekano mkubwa mama huyu akapata nafasi tena ya kuliongoza taifa kwa miaka mitano zaidi. Hii itatokea kwa kuwa wananchi watakuwa na imani naye kwamba ameweza kuliepusha taifa...
  5. A

    Rais Samia ukigusa Katiba Mpya ndio itakuwa kaburi lako la kisiasa

    Umezungumza maneno, naamini wewe ni miongoni mwa wahafidhina wa CCM. Kwa mtazamo wangu ni kuwa ikiwa huyu Raisi (Mama) atafanikiwa kuwezesha uwepo wa katiba inayohitajika kwa sasa katika nchi hii, basi anastahili sifa na utukufu wa kilimwengu.Na hapo ndio mawazo yangu yaninielekeza kuwashawishi...
  6. A

    Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

    Weee bwana ndio maana umeachwa, Mwalimu gani hujui hata kuandika!, WAFATE NDIO NINI?
  7. A

    Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

    Alipo teuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM alisema hadharani kuwa cheo hicho ni cha juu sana kwake na kwamba hawezi tena kukubali cheo kingine cha kuteuliwa kwa maana kuwa vitakuwa vidogo. imekuwaje leo anashukuru kwa kuteuliwa kuwa mbunge kacheo ambako ni kadogo sana?. usitukane wakunga uzazi...
  8. A

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

    CHADEMA ndio walikuwa wa kwanza kutangaza maombolezo ya siku 21ya kifo Raisi na CCM Wakafuata baadaye
  9. A

    GE2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

    Wewe acha hizo, safari hii wataalamu wa hesabu wamechambua idadi ya wapiga kura 2020 na wamesema kwa mujibu wa takwimu za tume ya uchaguzi inaonekana 100% ya watu wenye sifa za kupiga kura wamejiandikisha. Hii imeonesha kwa zoezi la uandikishwaji wapiga kura tumevunja record tangu uhuru, kwamba...
  10. A

    GE2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

    Akisndwa kwa halali ni tofauti na kushindwa kwa kuibwa kura zake eti.
  11. A

    Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

    Mke wangu analala nje bila taarifa yoyote, halafu hataki aulizwe kwa nini imekuwa hivi kutomtandika na kumfukuza kabisa ni ujinga mkubwa sana. Uchebe mwanaume wa ajabu sana katika uvumilivu yaani mpaka amepitilizaaa. Hata katika vitabu vya imani kitendo anacho fanya shilole hukumu yake ni...
  12. A

    Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Kuna wengine wanamiliki laini mbili kwenye mtandao mmoja kwa matumizi tofauti kwa mfano moja iko kwa modem kwa ajili ya internet na nyingine kwenye simu kwa matumizi ya kawaida. Watafungwa wengi kwa kuwaonea tu. Lakini tujiulize kuna madhara gani kwa mtu kumiliki zaidi ya laini moja kwenye...
  13. A

    Kuipigia Kura Djibout Badala ya Kenya ni unafiki mkubwa, Kenya tunafanya nae biashara hao wengine vipi?

    Lakini Kenya inawapenda Watanzania, fikiria kipindi cha vita baina ya Tanzania na Uganda kama kenya isingechepusha wale askari wa kukodiwa kutoka Libya kwenda kusaidiana na Uganga kuua watanzania hali ingekuwaje. Kama hizi taarifa ni za kweli basi Tanzania ijitafakari.
Back
Top Bottom