Recent content by Alex mapunda

  1. Alex mapunda

    Naomba msaada

    Uli wahi kusoma pale ndugu ili niendelee kukuhoji kiundani zaidi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Alex mapunda

    Naomba msaada

    Kwa yeyote anae kifahamu viziri chuo kinacho itwa Al-MAKTOUM COLLEGE OF ENGINERING AND TECHNOLOCY Naomba anijuze ubora wa chuo au una weza kunichek 0718070205 ili anielekeze vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Alex mapunda

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Ivi indirect entry kwa degree wana chukua mtu mwenye ufaulu gani?
  4. Alex mapunda

    TSSF

    Ahsante sana ndugu
  5. Alex mapunda

    TSSF

    Poa
  6. Alex mapunda

    TSSF

    Naomba kufahamu kama kuna mtu yeyote umu ambae ana nufaika na mikopo ya elimu ya juu katika hilo shirika Ani tafute kupitia number 0718070205 kuna mambo nahitaji kujua ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.
  7. Alex mapunda

    Msaada: Kozi ya water supply and sanitation engineering

    Ahsanteni sana kwa ushauri wenu nime chaguliwa hiyo course ndo mana niliomba kujua upande wake wa ajira ukoje ila nashukuru sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Alex mapunda

    Msaada: Kozi ya water supply and sanitation engineering

    Kwa anayeelewa hiyo course naomba anisaidie kunielekeza upatikanaji wake wa ajira uko vipi hapa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Alex mapunda

    Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

    Advance ndo ilivo kaka kukata tamaa ni mwiko komaa2 ila ukizidiwa nenda chuo2 mana PCB na PCM ndo zina ongoza kutoa zero Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  10. Alex mapunda

    Kupoteza mkopo wa elimu ya juu

    GPA ikiwa chini ya 2 mkopo wana sitisha na usipo sign Ada bila sababu ya msingi wana sitisha mkopo na ukipata disco pia mkopo wana sitisha mkopo
  11. Alex mapunda

    Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

    Circular motion, fluid,elastic of material,newton law of motion
  12. Alex mapunda

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nme ipenda sana bro ila naomba nifahamu hiyo biashara ita hitaji kianzio kama mtaji kiasi gani?
  13. Alex mapunda

    Nafasi za masomo katika chuo cha maji

    Tar 30 mwez wa 8 kma cja kosea
  14. Alex mapunda

    Wanafunzi kidato cha sita waliochaguliwa kwenda "JKT" mwezi May 2017 (Mujibu wa Sheria)

    Duuh ila siku hizi akuna kubeba dunia mta pga chenja2 za kutosha
  15. Alex mapunda

    Je naweza kujiunga na diploma ya electrical engineering DIT?

    Ila wame andika pale ktk website yao wana chukua Cs 3 so uwe na point 6 kwa walio maliza 2013 na point 9 kwa walio maliza 2012 kurud nyuma na hizo point wana angalia PHY,CHEM & MATH so hii ime kaaje mkuu?
Back
Top Bottom