Recent content by Alex Manonga

  1. Alex Manonga

    Makamba amka! Nusu ya nchi inaelekea kuwa jangwa

    "Mheshimiwa Spika, ni dhahiri kwamba binadamu wanahitaji rasilimali adhimu za mazingira kwa maisha yao. Hata hivyo, matumizi yasiyo endelevu ya rasilimali za mazingira huleta majanga na kuhatarisha maisha ya binadamu. Hali na mwelekeo wa mazingira ya nchi yetu ni mbaya kiasi cha kuzorotesha...
  2. Alex Manonga

    Makamba amka! Nusu ya nchi inaelekea kuwa jangwa

    Ndugu mtoa mada, mawazo yako ni mazuri lakini yangekuwa mazuri zaidi kama ungepitia hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira. Hii ni sehemu ya hotuba ya bajeti. "Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2016/17, Ofisi itasimamia na kuratibu Kampeni ya Taifa ya Upandaji...
  3. Alex Manonga

    Raia wa Afrika ya Kusini wanaofanya kazi Msumbiji kuondoka baada ya kutishiwa kuuawa kwa kisasi

    Wanaofanya vurugu ni sehemu ndogo sana, tena sana ya watu wa Afrika Kusini. Kufanya malipizi ni kutenda dhambi bure kwa sababu watakaoadhiriki ni watu wasio na hatia hata kidogo. Jambo la faraja ni kwamba tumeona serikali ya Afrika Kusini kwa nia ya dhati ikilaani na kutumia mbinu zozote kuzima...
  4. Alex Manonga

    Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

    Hapa nakubaliana na wewe. Wayahudi si taifa,ni kama kabila tu ambao wanaweza kuwa raia wa taifa lolote. Kwa wale wasiojua, wapo wayahudi tele wanaopinga Israel sehemu mbalimbali duniani. Ni kweli kwamba Hitler aliwaua wayahudi ila idadi ni debatable. Hili la kudhani kwamba kila anayepinga...
  5. Alex Manonga

    Mtemvu na biashara ya Utumwa Dubai

    Kama serikali inahusika katika kusimamia mikataba ya kazi kwa watanzania wanaoenda kufanya kazi huko basi sidhani kama kutakuwa na tatizo kubwa sana lisilofahamika. Kuna hulka ya binadamu kunyanyasa binadamu wengine, hata hapa nyumbani wafanyakazi wa ndani wananyanyasikwa kwa watanzania wenzao...
  6. Alex Manonga

    POLEPOLE: Vijana jiandikisheni kupiga kura ya hapana katiba mpya

    Ninyi wakina nani? Mtamwaga damu ya kina nani? Kinachowapa kiburi kwamba mawazo yenu ni halali kuwafanya mstahili kumwaga damu za wenzenu ili mawazo yenu yapite ni nini?
  7. Alex Manonga

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    Kwa wananchi wa Libya hawatampata kiongozi kama Gadafi hivi karibuni.
  8. Alex Manonga

    Vijana wa UDOM tuna malalamiko kwa January Makamba

    Kaka sasa nimeg'amua kuwa ile thread uliyoanzisha kuhusu maendeleo ya Bumbuli ulisukumwa na maslahi binafsi. Kama ni maendeleo ya jimbo, January amefanya makubwa kuanzia mikopo nafuu, barabara, umeme na kikubwa zaidi kutimiza ahadi ya kuwapatia wananchi wa Bumbuli halmashauri ili kusogeza na...
  9. Alex Manonga

    Msaada wa luku

    Wakuu, Niliweka luku ya sh 45,000 tarerhe 1 mwezi huu katika nyumba yenye vyumba 4. Jana niliporudi nyumbani usiku umeme ulikuwa umeisha. Je, ni kawaida au luku yangu ni mbovu?
  10. Alex Manonga

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Udogo kwenye siasa ni nini mkuu. Angalia au soma historia za uongozi wa wafuatao walioshika madaraka makubwa katika nchi zao wakafanya mambo yanayokumbukwa duniani wakiwa na umri mdogo. 1. Mwalimu Julius Nyerere - Alishika madarka akiwa na umri wa miaka 39. Wote tunajua mchango wake hata wale...
Back
Top Bottom