Recent content by Alevet

  1. Alevet

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nilinunua umeme wa shilingi 14,000 kwenye mita ya zamani namba 04167568379 nikapata unit 19 lakini mita ilikuwa inatakiwa kubadilishwa na hivyo umeme haukuingia. Nikabadilishiwa mita mpya namba 43524416005 nikaambiwa nijaze fomu kuomba nirudishiwe hizo unit. Mpaka leo ni miezi mitatu...
  2. Alevet

    Tuition ya Advanced Mathematics na Physics kwa form V&Vi

    Kijana aliyemaliza form six (fresh from School) anafundisha VIZURI sana. TUITION TUITION TUITION ADVANCED LEVEL FORM V&VI SOMO: ADVANCED MATHEMATICS MLETE MWANAO NA HUTAJUTIA MAHALI: KITUO CHA BUCHA (KWA MSABAHA) BARABARA YA WAZO KUELEKEA MADALE. MTAA WA CHELSEA. TUITION INAANZA ASUBUHI SAA 2-...
  3. Alevet

    Hizi imani za kishirikina imekuwa Changamoto

    Lete hiyo story hata kama ni ndefu boss ili tuelimike sote
  4. Alevet

    Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

    Tumemtumia namba lakini mpaka sasa hatujatumiwa boss
  5. Alevet

    Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

    Mkuu, nimekutumia namba ya whatsapp PM. Asante
  6. Alevet

    Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

    Nkauliza kama umetumiwa PDF tuwekee humu jamvini tusome pia
  7. Alevet

    Last days events...

    Mkuu naomba nitumie kitabu boss Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Alevet

    Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Lini mtaa haukujazwa? Na nyumba zilijazwa sijui, sijui sijui maana yake Nini? Kwani sensa imeshafanyika? Mbona una wasiwasi? Sensa inafanyika mwezi was nane au nadangaya ndugu zangu?
  9. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Yogaaaaa
  10. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Tupiamo vyombo
  11. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Shusha miamala
  12. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Yoga, Yoga, Yoga.....nimekuita Mara tatu!
  13. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Yoga, Yoga, Yoga.....nakuita Mara tatu njoo
  14. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Good afternoon
  15. Alevet

    Dark days 17/03/20

    Yogaaaa! Njooo! Lete mada mama kesharudi. Tour iko A town
Back
Top Bottom