Recent content by AlephMemShin

  1. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

    bro bila kuwa mafia kwny hii dunia hutoboi kwnz uyo manzi alokuja na mimba ya pili ungemchana 2 hutaki mazoea angelazimsha ungeteneza mazngra umle ndogo mana n mpuuzi, mke wa m2 kwann akuletee mazoea, ktendo cha ww kumpa attention mojakwamoja kinaonyesha upo desperate mno na ndo madhara ya dini...
  2. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    KOROE EFFECT salute bro japo nna roho ya visasi sikufikii duuuh
  3. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Sitarudia tena kulala chali baada ya haya mauzauza

    Kwa Udhamini Wa AI, Jb Zur.
  4. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

    pole sana bro i feel u, hauna rafk yak ambaye yuko chaka kpnd hch cha mavuno ukakusanye mtaj huko.
  5. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    Hahaha hl swal lak lmenkumbusha mambo ya bipedalism.
  6. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    ipo hv charity work ni daraja linalounganisha physical world na emotional world, sadaka zako(material) ukzpelekwa kwa wny shda au uhtaj (emotional) vile jnc wanajskia inatuma mitetemo yng nguvu sana kwnd spiritual world huko ndo inaenda kuunlock archetype znazohusiana na mibaraka(expansion)
  7. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    mbona wakawaida sana hao, kama ww n mwamba soma madubwasha ya kwny grimoire books e.g grand grimoire, ars goetia(lesser key of king solomon) ujue upande wa pili wa dunia upoje, mbn huyo nicolo wa the prince ukisoma 48 laws of power cha robert greene, pia kama hujasoma quantum mechanics...
  8. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti

    exactly, itakuw either chip implant kwa ngozi ama nanobot inaingia kwa ubongo via blood circulation, ngoja tuone post humanism itakavokuwa, nataman sana watu 2some alama za nyakati dunia iliposasahv ni era advanced sana, imagine via ai unaweza hata kujitengenezea namna yako mwenyew ya imani.
  9. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    keep fighting bro, wabongo so watu wakuwapa michongo watakunanga adi so poa, njia ulopita ndo inatakiwa trader apite kuwa mwnyewe anzsha strategy yako mwnyw mchezo kwisha.
  10. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

    Sahihi kabsa, sema mwanetu aliingia miguu yote miwili, mm ninapoanza k2 kpya huwa siamini kwny kuelekezwa na mtu natakaga niumie kwanza mwenyewe, kwny kuumia unajikuta umekuwa master bila msaada wa m2 yyte. mwanetu aliskip kpengele ndo akadondokea mamentor uchwara, ukijua fx ni pori kubwa halina...
  11. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania SCRIPTED: Je, mpira wa Kombe la Dunia una sumaku (magnet) ndani?

    haingii akilini, magnetic field patterns zlivyo na mpira muda wote uko kwny mwendo unacontrol vp na external sensor ztakazo kuwa znadaka elcmagwaves ztakuwaje. mmh.
  12. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

    pole sana mkuu, stori yako nmeisoma vema ila pattern nlyoinotice kwako hauna utulivu na subira, unaendeshwa sana na greedy, haukuimasta part ya emotion na ndo basic ya fx iko hapo, hz technical na fundamental ni mantiki, hata huko shamba unakotaka kukumblia ukikosa utulivu na subra utapakimbia...
  13. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kumfuta mtu katika fikra na hisia zenu? Mimi haikuwezekana

    de gunner umensiktisha sana, kwny haya maisha kwann uwe na strong attachment na watu? kill hyo behavior mbaya, mm huw na feign attachment pale napoona maslahi2 tena kwa new people, khs old ones snaga habari kbsa. my circle iko very tighly siingilik kirahc pia siruhusugi wa2 waingile krahs hii...
  14. AlephMemShin

    JamiiForums Tanzania Kuchinja kondoo kuomba ulinzi kwa miungu/mababu wa kale na kufungua milango ya mafanikio

    wadau kuna hili jambo naomba mnijbu, mwez feb nlikuw shambani ghafla akapita ndege fulani hv huwa ana nyoya la mkia refu sana huwa akiruka kuna ndege wengne wadogo wadogo wanakuwa wako pembeni nae. sasa yule ndege alitua mti jirani nkaokota jiwe nmpige kabla cjafika akaruka. nkapotezea. kesho...
Back
Top Bottom