Recent content by albt0ny

  1. albt0ny

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Pole kwa Watanzania, Pole kwa serikali na Pole kwa Chama cha Mapinduzi. R.I.P J.Magufuli
  2. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    Nyamsusa Oil Filling Station. Abbreviation NOIL
  3. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemuumba Mungu?

    Exactly. Hili jibu nakumbuka enzi za useminarini tulijibiwa na deacon kwa kusema ''De fide'' ni theological note inayomfanya mtu abaki na kile anachokiamini na Usiendelee kuuliza zaidiii. Don't ask and don't question any more. its a dogma.
  4. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

    Mkuu kwa Idea yako ya kusimama kama konda pesa itarudi ndani ya mwaka, Chukua eicher ya milango miwili, wapiga debe wapo wengi katika kila kituo. Tegeta - kariakoo ni route nzuri sana mkuu. All the best mkuu.
  5. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Yanawezekana: China wazindua daraja la urefu wa 55km kutoka Hong Kong mpaka Macau

    mkuu kuna seheme ya hilo daraja wametengeneza njia ya chini ya bahari na meli kubwa zitakuwa zinapita juu na barabara yenye umbali wa kilomita sita itapita chini ya bahari.
  6. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Yanawezekana: China wazindua daraja la urefu wa 55km kutoka Hong Kong mpaka Macau

    Kwenye njia ya meli kuna km 6 wamepitisha chini ya bahari(under sea tunnel) hivyo meli kubwa zitapita juu.
  7. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna best diss song zaidi ya hii ya Tupac?

    chief uko deep. huyu jamaa alivyo mdiss 2 pac kidogo akapata Jina.
  8. albt0ny

    JamiiForums Tanzania My top/best ten hip hop lyricists of all time

    2 pac Eminem NAS Jay Z Prodigy T.I KRS ONE Eric B & Rakim Eazy E Fedro Starr.
  9. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Nina Novel Ya Godfather Natafuta Mtu Tufanye Exchange.

    Brother Man by Roger Mais. Ninacho mkuu.
  10. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Mapinga ipi mkuu?
  11. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo truck

    Hiyo bei ni horse (tractor 6*4) tatu za Howo
  12. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo truck

    mkuu haifiki huko CIF price (dumping trailer) mpaka bandarin USD 31000. bila horse yake (tractor)
  13. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

    mkuu umenikumbusha mbali sana nilikua mkwawa room 5 middle. Kipindi hicho mkuu ni Mpemba. mwalimu mkongwe wa maths alikua ELIFURAHA na huyu ndo mwenye historia ya mkulu walifundisha wote.
  14. albt0ny

    JamiiForums Tanzania TRA muache kuvizia wateja wa jumla Kariakoo

    mkuu kama ni mfanyabiashara ni muhimu na lazima kila unapofanya manunuzi ya bidhaa uchukue risiti ya efd pindi unapofanya mahesabu ya kodi risti za manunuzi zionekane pia.
  15. albt0ny

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Mh. Rais kuhusu changamoto za kibiashara na ushawishi wa Dangote kwa Serikali

    Mkuu na hayo malori si machakavu kama unavyosema ni Howo HW 371 direct kutoka kwa manufacturer sinotruk (CNHTC). kikubwa Mangi umehofia biashara kushuka kutokana na transporters watakua affected na uingizwaji wa hizo trucks.
Back
Top Bottom