Recent content by albertno

  1. A

    Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

    Sijui ume angalia vigezo gani?
  2. A

    KAZI ZA MAAFISA MAUZO KUPITIA GARI LA MTEJA

    Sales Representatives (Afisa Mauzo) Platinum Credit Ltd ni kampuni inayotoa huduma ya mikopo ya dharura kwa watumishi wa serikali ya Tanzania na wafanya biashara raia wa kitanzania wa rika la kawaida na rika la kati. Kampuni imejizatiti kuhakikisha huduma zake kwa wateja zinapatikana ndani ya...
  3. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Riba kwetu sio tatizo na malalamiko ya riba ni machache sana kwani riba ana jichagulia mtumishi kutokana na muda atakao kaa na mkopo wetu hivyo mtumishia akimaliza kutatua shida yake anafuta mkopo muda wowote.Watumishi wengi wanafurahia huduma hii na wanakuja kwetu kukopa kila mara anapo pata...
  4. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Watumishi wa serikali wata endelea kukopa mpaka mwisho wa dunia na tuna washukuru kwa kutupongeza kwa huduma zetu nzuri na tuna ahidi kuendelea kuwapa huduma nzuri kila kukicha.Kamisheni zetu ni nzuri sana na maafisa mauzo wengi wana zifurahia maana tuna lipa mara mbili kwa mwezi.
  5. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Kama kweli umefanya research ya kutosha wiki nzima na kuja na mahesabu kama haya na wasiwasi sana na uwezo wako.Hatulipi asilimia moja na vilevile hio tax is it withholding tax?Is NHIF compulsory for agents? kuna vitu vingi sana huvijui nakushauri usipotoshe watu walio tayari kufanya kazi kwa...
  6. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Watumishi bado ni wengi wana endelea kukopa na wataendelea kukopa kwa sababu tupo tayari kuwasaidia kutatua matatizo yao ya haraka.Katika kazi kila mtu ana majukumu yake hao wadada wa ghorofani una waita na nukuu wanafanya kazi ya kutafuta wateja kwa njia ya simu yaani 'telesales' na wanapata...
  7. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Una changanya vitu viwili sisi sio bank!!!! we are here to provide emergency loans and you can settle any time after solving your immediate problem.
  8. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Pitia ata humu vizuri utaona kazi kibao zinakua re advertised hii inatokea kutopata watu sahihi wanao endana na kazi husika
  9. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Kazi hii ni ya commision na wapo wanaopata zaidi kuliko ata huo mshahara una ulizia ni uwe mna uchu wa kufanya kazi
  10. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Hili tangazo limerudiwa mara ya pili wapo tuliowachukua na washaanza kunufaika na kazi hii
  11. A

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    Sales Representatives (Afisa Mauzo) Platinum Credit Ltd ni kampuni inayotoa huduma ya mikopo ya dharura kwa watumishi wa serikali ya Tanzania na wafanya biashara raia wa kitanzania wa rika la kawaida na rika la kati. Kampuni imejizatiti kuhakikisha huduma zake kwa wateja zinapatikana ndani ya...
  12. A

    Nafasi za kazi maafisa mauzo

    soma comments zangu swali lako lishajibiwa vizuri check the two modes of payments
  13. A

    Nafasi za kazi maafisa mauzo

    Nashukuru kwa maoni yako kukopa mil 5 na kurudisha mil 19 sidhani kama ni sahihi ila mteja anaekaa na mkopo kwa kipindi kiirefu anarudisha zaidi sasa sijui alichukua mkopo huo kwa muda gani.Kwenye kazi hii elimu tunazingatia ila cha zaidi ni moyo wa kufanya kazi watanzania wengi ni wavivu wa...
  14. A

    Nafasi za kazi maafisa mauzo

    Usikatishe watu tamaa wewe kama huhitaji kazi tulia nawashukuru wote nime pokea maombi yenu na nisha yafanyia kazi.
Back
Top Bottom