sawa kama unadhani hatujawahi kufanya hizo kazi, nakuhakikishia kiwa baada ya miezi miwili utakuja tena kutafuta watu sales tena. washaulini hao mabos wenu kuwa mtaani product haziend,na pia nikwambie tu, wao wadada jukumu wanalolifanya ni kuprocess mikopo, baada ya nyinyi kuwa mmewatafuta, kama hujui kazi zao vizur,nenda makao makuu yao, ghorofa ya kumi, ingia kulia, utaona reception, kisha nenda kushoto ingia kwenye ofisi yao,pia kama vip nenda mwisho kabisa kunja kulia utaona meeting room, ukitoka hapo, ingia upanda wa kulia utaona ofisi ya washua, nimekupa picha zote kukwambia kuwa nafahamu iyo kazi.