- Thread starter
- #41
soma comments zangu swali lako lishajibiwa vizuri check the two modes of paymentsMkuu nauli ya kila siku ni sh ngapi ili nkuongezee applicant?
soma comments zangu swali lako lishajibiwa vizuri check the two modes of paymentsMkuu nauli ya kila siku ni sh ngapi ili nkuongezee applicant?
Rudisha simu kwa mwenyewe kaka maana daahJambo unalosema sio sahihi kwani unashindwa kutofautisha bank na microfinance institutions una hitaji elimu ya provision of emergency loans kwanza riba ulizotaja sio sahihi mteja ana chagua riba kutokana na muda atao kaa na mkopo wake na anaweza futa deni muda wowote.
Tafuta kitabu cha darasa la kwanza ujifunze kuandika vyemaNisaidie nifanyaje ili niwe sawa brother
Jamii forum bwana hadi vilaza wanavimba ha haTafuta kitabu cha darasa la kwanza ujifunze kuandika vyema
Haahhaahah Sawa sasa kati yangu mimi na wewe ambae hujui matumizi ya a na h sijui nani kilazaJamii forum bwana hadi vilaza wanavimba ha ha
"your wellcome Hater"
ha ha ha hivi kuna matumizi a na h ?Haahhaahah Sawa sasa kati yangu mimi na wewe ambae hujui matumizi ya a na h sijui nani kilaza
Wewe jamaa ni so selfish sana yani bila aibu unasema mnalipa 7% sasa hyo ni 0.07 ukizidisha na hata kwa 3,000,000 ni 210,000 hapo toa hata tax ambayo ni 30,000 unabaki na shilling ngapi acha upuuzi na ubaya weweHapana sio kweli malipo yapo ya aina mbili transport on daily basis ukipata mteja na asilimia 7 commision paid on monthly watu wengi wana nufaika na kazi hii usikatishe watu tamaa.
Acha kupotosha hakuna cha transport allowance wewe sisi tuna information za alipo ya watu wenu kuliko wewe na kingine sokoni watumishi wa serekali hawawataki tena so nyinyi kutoa mkopo ni kazi sanaUsikatishe watu tamaa wewe kama huhitaji kazi tulia nawashukuru wote nime pokea maombi yenu na nisha yafanyia kazi.
We jamaa Muhaya nini "Honeni"Haya honeni sasa
"Hanapajua"Inabidi utoa maelezo vizuri maana wewe kampuni himekuamini ili utafute vijana sasa mbona unakuwa kama mlevi au umefundishwa kila mtu anaeishi dar hanapajua shoopez plaza
"Haters hayo tu sina haja ya kazi"
Muhaya huyo hata usemeje huwa hawaelewi ni tatizo ambalo linatokana na kilugha chao.Mkuu naomba uzingatie matumizi ya a na h..... Comments zako nyingi zina tatizo hilo.
Watanzania wengi mnapenda kazi za mshahara ili mtegee kazini hii kazi lazima ufanye kazi ndo uiingize kipato ukilala na mifuko ina baki empty.Tupende kufanya kazi na wakaribisha wale wote wanaopenda na moyo wa kufanya kazi.
Nina ndugu yangu amewai fanya kazi kampuni inaitwa fanikiwa ananambia mtu akikopa mkopo wa 5million analipa mpka 19 million.
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa huu si niwizi yani mara 3 ya alichokopa.
Skuizi watu niwaelewa sana ata kama ajira hakuna.
Kwa uelewa wangu ukiona kampuni inahitaji watu wengi namna iyo ni kiashiria cha mambo yafuatayo
1.turnover rate ni kubwa katika kampuni ndio maana wanahajiri kwa idadi kubwa
2. Kazi haina maslahi ndo maana wanahitaji watu wengi tena wenye elimu ya kawaida unaweza shangaa mda mwingine wakahitaji mpaka darasa la 7
3. Kuna ugumu katika soko la bidhaa husika hivyo wanahitaji watu wengi kuforce soko na bila shaka kampuni mauzo yamepungua sana hivyo kuhitaji watu wengi watakao okoa jahazi
4.kuhitaji watu wengi ni kwamba kampuni inahitaji kufikia malengo yake kwa muda mfupi ( yaani target) hivyo apo watu mtapiga kazi mpaka mchakae[emoji23][emoji23]