Nafasi za kazi maafisa mauzo

Nafasi za kazi maafisa mauzo

Mnalipaje kwa mwezi au wiki

na kwa dar es salaam mpo shoopez plaza sasa ukisema shoopez plaza maana nini sasa toa direction inayoeleweka

Inabidi utoa maelezo vizuri maana wewe kampuni himekuamini ili utafute vijana sasa mbona unakuwa kama mlevi au umefundishwa kila mtu anaeishi dar hanapajua shoopez plaza

"Haters hayo tu sina haja ya kazi"
 
Fanya application utapigiwa simu kwa ajili ya interview kama utakua shortlisted na uta elekezwa unataka tuelekeze kila mtu huo utaratibu ni wa kwako wale watakaopita na moyo wa kufanya kazi wata elekezwa kwa kina ofisi zilipo.
 
Haya honeni sasa
 
Weka na mshahara boss isije kuwa ni commission basis.
Siku hizi watu wanaogopa kukopa kiliko moto wa jahanamu.
Riba inaogopesha sana watu!!
Hiyo no commissioned based mzee baba kuzunguka kutafuta wateja had a taasis za serekali

Uwaaelimishe ili waje kukopa kwwnye kampuni yenu na wanavyoogopwa hao sababu ya ribs zao ukikopa 200,000 utarusisha 3ml
 
Sawa malipo ni ya commission na riba zenu zikoje?
Tatizo linaweza lisiwe commission bali ni riba hivyo mkopo kutouzika mtu unakuta anazunguka dar yote mwezi mzima hapati kitu
 
ha ha ha ha ha ha

Serious kaka, ukitaka upoteze muda wako mpaka ujute ni kuhusu izi kampuni za mikopo,vyombo na network marketing.

Kunakampuni zinariba mpaka asilimia 50 uku kunabank kama BOA (bank of Africa) wanariba ya 9% sasa unamwambiaje mtu aje akope riba ya asilimia 50% kwa kigezo cha kupata pesa ndani ya masaa 24 au 48 , izi kampuni natamani sana Serikali izipitie upya wanaumiza wafanyakazi kwa kigezo cha shida zao.
Imagine unakopa 1m utakujalipa milion 3 au 4 uko sasa huu si wizi.
 
daa ahsante kwa kunijuza kaka
 
Kazi hii ni ya commision basis na mikopo yetu inatolewa ndani ya masaa 24 na mteja ana uwezo wa kufuta mkopo wake pindi anapomaliza shida yake hii imepelekea kampuni kua na wateja wengi kila kukicha hivyo ni fursa nzuri kwa vijana.
Aaaaaah kama kamishen tupa kule bro wakopaji hamna sa hiv riba juu na hali ngumu vyuma vina kutu.
 
Malipo ni kamisheni yani kulingana na mauzo yako na wana asilimia ndogo kuanzia 3% ikizidi sana 8% kwa kila mteja kama sijakosea

Hapana sio kweli malipo yapo ya aina mbili transport on daily basis ukipata mteja na asilimia 7 commision paid on monthly watu wengi wana nufaika na kazi hii usikatishe watu tamaa.
 
daa ahsante kwa kunijuza kaka
Jambo unalosema sio sahihi kwani unashindwa kutofautisha bank na microfinance institutions una hitaji elimu ya provision of emergency loans kwanza riba ulizotaja sio sahihi mteja ana chagua riba kutokana na muda atao kaa na mkopo wake na anaweza futa deni muda wowote.
 
Hamkawii kulipa kwa kamishen upuuzi taja mshahara mzee
Watanzania wengi mnapenda kazi za mshahara ili mtegee kazini hii kazi lazima ufanye kazi ndo uiingize kipato ukilala na mifuko ina baki empty.Tupende kufanya kazi na wakaribisha wale wote wanaopenda na moyo wa kufanya kazi.
 
Nina ndugu yangu amewai fanya kazi kampuni inaitwa fanikiwa ananambia mtu akikopa mkopo wa 5million analipa mpka 19 million.
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa huu si niwizi yani mara 3 ya alichokopa.

Skuizi watu niwaelewa sana ata kama ajira hakuna.
Kwa uelewa wangu ukiona kampuni inahitaji watu wengi namna iyo ni kiashiria cha mambo yafuatayo

1.turnover rate ni kubwa katika kampuni ndio maana wanahajiri kwa idadi kubwa

2. Kazi haina maslahi ndo maana wanahitaji watu wengi tena wenye elimu ya kawaida unaweza shangaa mda mwingine wakahitaji mpaka darasa la 7

3. Kuna ugumu katika soko la bidhaa husika hivyo wanahitaji watu wengi kuforce soko na bila shaka kampuni mauzo yamepungua sana hivyo kuhitaji watu wengi watakao okoa jahazi

4.kuhitaji watu wengi ni kwamba kampuni inahitaji kufikia malengo yake kwa muda mfupi ( yaani target) hivyo apo watu mtapiga kazi mpaka mchakae[emoji23][emoji23]
 
Nashukuru kwa maoni yako kukopa mil 5 na kurudisha mil 19 sidhani kama ni sahihi ila mteja anaekaa na mkopo kwa kipindi kiirefu anarudisha zaidi sasa sijui alichukua mkopo huo kwa muda gani.Kwenye kazi hii elimu tunazingatia ila cha zaidi ni moyo wa kufanya kazi watanzania wengi ni wavivu wa kufanya kazi wale wachache wanaopenda kufanya kazi wamenufaika sana wengine kujenga na kusomesha watoto wao.
 
Mkuu nauli ya kila siku ni sh ngapi ili nkuongezee applicant?
 
Back
Top Bottom