Recent content by Albert_2010

  1. Albert_2010

    Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Mkuu bado una mtazamo ule ule, imetoka kwa wakwea pipa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Albert_2010

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    12 Angry Men, Casablanca The Good, the Bad and the Ugly Movie zote za zamani, oldie is goldie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Albert_2010

    Teknolojia gani ni kubwa zaidi kutokea duniani?

    Ugunguzi wa gurudumu. Jaribu kufikiria mashine nyingi hufanya kazi kwa kutumia nyenzo ya gurudumu. Toka injini, saa hadi tairi za vyombo vya usafiri. Simple but very essential invention Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Albert_2010

    Wizi wa magari Dodoma

    Wezi wa magari nao wanapitia tu huu uzi kupata maujanja zaidi, tehe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Albert_2010

    Chloroquine kutibu Corona?

    Acha kabisa, na muwasho wa kufa mtu full kujikuna. Afanaleki, ishakuwa baniani mbaya. Tatizo madukani hamna upatikanaji wake ni changamoto. Labda hiyo hydoxylchloroquine ndio inapatikana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Albert_2010

    Chloroquine kutibu Corona?

    Rais Donald Trump akihutubia kuhusu uamuzi wa Marekani kutumia klorokwini kupambana na Corona Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Albert_2010

    Chloroquine kutibu Corona?

    Imeonesha kufanikiwa kupunguza athari ya Corona. ==== Chloroquine, an old malaria drug, may help treat novel coronavirus, doctors say Chloroquine, or hydroxychloroquine, has been used to treat malaria since 1944. What do malaria and COVID-19 have in common? On the surface, not much. But...
  8. Albert_2010

    Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Kinachotisha sio idadi ya vifo bali kasi ya maambukizi ni kubwa sana kiasi cha kutishia kuangusha mfumo wa tiba. Baadhi huumwa sana kiasi cha kulazimika kulazwa ICU, hata hivyo idadi ya wodi hizo ni chache kuhimili wagonjwa. Ndio maana unasikia kuna hospitali za dharura/maalum zimejengwa/tengwa...
  9. Albert_2010

    Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Wanasema ni asilimia 2 hadi 6 za wanaoupata hufariki. Wengi wao ni wazee wa miaka 60 na kuendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Albert_2010

    Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Nimeiona kwenye The Guardian la leo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Albert_2010

    Vitendo vya wanafunzi kulawitiana shuleni vyaibuka Mwanza Taasisi zaamka kutokomeza vitendo

    Utafiti wako si rasmi, tunashauri hiyo taasisi iufanye kwa miji mingine ikiwemo uliyotaja Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Albert_2010

    Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Karibu Mkuu!!
  13. Albert_2010

    Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Sabuni nzuri ya mawasiliano Mkuu. Made in by Apple
  14. Albert_2010

    Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Sold
Back
Top Bottom