Recent content by albert mwakalinga

  1. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Tractor gani nzuri kwa biashara New Holland, John Deer au Massey Ferguson?

    4 wd ni nzuri unalima hadi kwenye sehemu za matope! HP kuanzia 75 hadi 100 sio mbaya. Kwa upande wa Tractor Importer newholland ni nzuri sana ikiwa mpya ili ikianza kuchoka sio nzuri. Massey ferguson ni nzuri kwasababu inahimili muda mrefu. Huo ni uzoefu wangu,naomba tuwasiliane tuongee mawili...
  2. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Umepata eneo maeneo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Msimu ufuta upo vizuri, ila sijui itakuwaje na hii corona Sent using Jamii Forums mobile app
  4. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepitia chuo naombeni mnishauri mdogo wenu hii SUA itaniua jamani .

    Sap kawaida komaa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku

    Joto halifai,usiku huu sijajivunika kitu lkn joto balaa hadi nimeamka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Mbegu ya kitunguu redbombay inahitajika

    Kwa mtu wa Morogoro au Iringa mwenye mbegu ya redbombay namuomba tuwasiliane +255653212417 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Jamani bei ya kitunguu ulipo ni bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    Habari zenu wadau wa kilimo? Naomba msaada wa maelezo ya tractor hlenye hp 50 na kuendelea. Pili kujua ni lipi zuri kati ya 4 wheels drive na 2, tatu upatakinaji wake Sent using Jamii Forums mobile app
  9. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Muache ubishi UTI inaambukizwa kwa sex
  10. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [color]nipe feedback
  11. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    km kutakuwa Na changamoto just toa taarifa
  12. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    kuna mtu Jana nilimshukuru kwa kufundisha vizuri km sikosei angalia page 10,11 Na 12 utayakuta hayo maelezo
  13. albert mwakalinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Ulitaka kubold?
Back
Top Bottom