Recent content by albert bulimbo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kipo Chanika,bei ni ya kwaida.

    Nipigie unayeuza 0655203345
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    Vipi naomba namba tuwasiliane nije nikione hapo kivule
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote waliosoma Sengerema Sekondari

    Namna ya kumpata amebanwa na majukumu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote waliosoma Sengerema Sekondari

    Napenda kujitokeza kama mwanafunzi niliyesoma Sengerema Sekondari(O&A)level. Naitwa Changanya Bulimbo, nilisoma hapo 1985-1988 O' level. Baadhi tumeanzisha umoja ambao makao makuu yapo Dar es Salaam. Tunataka kufanya harambee mwaka huu kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya maji taka na maji...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia 1m mpaka 2m ndani ya dk. 30 kwa dhamana ya gari tu!

    Uko wapi makazi au ofisi yako
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nitapata Wapi Hotuba za Hayati Edward Moringe Sokoine

    Nenda TBC barabara ya nyerere utakuta na za wengine ambao hukutarajia
  7. A

    JamiiForums Tanzania Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

    Tunashindwa kujibu maswali kuhusu jpm akiwa mwalimu sesesco tuliofundishwa na yeye tuna mengi ya kusifia lakini kwa mtizamo wa JF mtu hawezi toa maelezo ya kuwatosheleza kila mwana JF akaridhika maana wengi humu wameathirika kwa utendaji wake aidha wengi wetu humu JF walikuwa wapiga dili...
Back
Top Bottom