NileSat
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 340
- 179
Wakuu mimi ni mpenzi mkubwa wa kufatilia History za Viongozi walio na Wanaoshika madaraka juu Ya juu katika Taifa langu hili La Tanzania, Napenda kusikiliza hotuba mbalimbali za Viongozi hao kwani huwa nafanya analysis na kuchambua capacity au ability ya kiongozi huyo, Nimehangaika kutafuta hotuba Za waziri mstaafu na Hayati ndugu Edward Moringe Sokoine ila nimegonga mwamba yoyote mwenye Clips au sauti za Mheshimiwa huyu anitumie