Kwa upande wangu!!
Vita bado ni mbichi kote kote, mrusi amepoteza vikose na zana nyingi na bado anaendelea kupoteza wakati Ukraine nae anapoteza mara mbili zaidi wanajeshi,raia,vifaa,miundombinu na majengo muhimu kila kukicha! Hadi Sasa ni ngumu sana kutoa utabiri wa vita jinsi itakavyoisha! Na...
Habari,naombeni mwenye link ya Uzi wowote kuhusu Muvie kali ambazo mtu amewahi kuangalia bila kuchoka,
Natafuta Muvie za kucheki
Nitapendeza zaidi zile za kiafrika km the queen of katwe,the women king
Au za kivita km jumong,za kii intelegensia
Anitag au aniunganishe huko
Yale yale.....Mtu Fulani hafai,
Kwanini hafai...
Kuna ck kuna mtu aliwahi kuandika kuwa hafai,
Ck nyingine mkisema Fulani hafai,toa fact
Taja na watu wako unaohic wanafaa,
Ili wapewe nafasi (kwa fact)
Mleta Uzi,nenda kajipange tena!!
Umesema mtu hafai lakini fact hujatoa how?? Anavyoonekana tttu na unavyomuona unahic hafai?? Elimu yake labda!! Kwa kuwa ni mwanamke? Vitu ambavyo ungetamani avifanye km waziri bado hajavifanya ?? Labda hafai kwa kuwa Uliwahi kuishi nae tabia zake unazijuwa Toka...
Habari,naombeni kufaham mfanyabiashara km huyu kukaa na dola nyingi Nyumbani au ofisini kwake badala ya bank! Anayumbishaje uchumi wa inchi???na anatakatisha vp??
Yanayofanyikaga kwenye hizo form vituo vyenyewe vinafaham, NHIF wao wenyewe wanafahamu cause wanakutana na case nyingi sana, hata wizara nayo inafahamu....
Nahisi wanasubiri video Moja ivuje, Wananchi walalamike sana mitandaoni. Then ndo waje kusema tunaunda kamati ya uchunguzi, kisha wachukue...
Nimegundua kuwa Watu wengi wana udini bila kujijua,na wanajitahidi sana kutafuta hoja wakizipamba zionekane za msingi!! Kumbe wapi ..
Me ni mkristo,lakini naomba mama aongeze list la waislam!! Kwenye uongozi
Makundi ndani ya chama tawala,wasiompenda mama na vyama venginenyo wanajitahidi...
Ulishawahi kumuona kipofu barabarani akikosea njia,na pembeni kuna mtu mzima wa kumsaidia,lakini Cha ajabu badala ya kutoa msaada anasepa akijisemea Moyoni yupo mwingine atakayekuja kumsaidia!!
.....najua kila ck watu wanalalamika,na wahusika wanaona malalamiko kila ck!! Ila wanasubiri Hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.