Embroidery (Darizi) na Kuprint

Embroidery (Darizi) na Kuprint

Karibuni sana
20230328_114038.jpg
 
Tunapokea Oda za Kudarizi.
Tshirts
Kofia
Mashati
Sweta
Na vingine vingi.
Tunafanya kazi kwa Wakati.
Tunapokea Oda kubwa na ndogo.
Kuanzia 5PCs hadi zaidi ya 1,000 PCS.

Karibuni sana ufanye kazi na sisi.

Wale walioko Nje na Dar es salaam Wasiliana nasi tukusaidie kununua Product unayotaka kwa bei za Jumla na Kudarizi kisha tunakutumia Mzigo hadi uliko kwa uaminifu mkubwa.
 
Karibuni sana kwa kazi za Embroidery (Darizi) za Tshirts na Shirts za SHULE, OFISINI na Matukio yyte pia.
20230405_150530.jpg
 
mfano nikija na T-SHIRT Moja KAMA hii,nahitaji dizen kama hii kwa matumizi binafsi,gharama zinaweza kuwa vp??
Tshirt moja gharama itakuwa kubwa Boss wangu.

Ku-Design - 10,000
Kufanya Embroidery - 2,500
 
Mtu ukiwa na kazi kubwa Design ni Free na bei ya Kufanya Darizi ni inapungua.
Ukiwa na kazi ndogo itakubidi ulipie Design
 
Tunapokea Oda za Kudarizi.
Tshirts
Kofia
Mashati
Sweta
Na vingine vingi.
Tunafanya kazi kwa Wakati.
Tunapokea Oda kubwa na ndogo.
Kuanzia 5PCs hadi zaidi ya 1,000 PCS.

Karibuni sana ufanye kazi na sisi.

Wale walioko Nje na Dar es salaam Wasiliana nasi tukusaidie kununua Product unayotaka kwa bei za Jumla na Kudarizi kisha tunakutumia Mzigo hadi uliko kwa uaminifu mkubwa.
Mpo vizuri sana, nitakutafuta.
 
Tunaelekea kwenye SIKU YA WAFANYA KAZI (MEI MOSI)
Je, unajiuliza utapata wapi Tshirts au Kofia kwa ajili ya Ofisi, Taasisi, Shule na Wafanya kazi wenzako.

Karibuu sasa tukuhudumie kwa kuku-Darizia Tshirts au Kofia kwa bei nafuu sanaaa na kwa Wakati sanaa.

TSHIRT zetu ni Quality Nzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom