Mungu ibariki Tanzania, chadema. Tunaomba hawa mafedhuli uwaumbue zaidi na kuwanyang'anya dola. kwa kuwa wanatenda yasiyokupendeza. Tunaomba uelekeze hasira yako juu yao ili wasilisahau pigo lako kuu.
mtanke, leo umefanya kazi kubwa sana.binafsi nakushukuru sana kaka, kwa kuwa kwa kiasifulani ni kama nilikuwa kwenye mkutano huo wa uzinduzibig up. naomba usichoke kesho tena tupe updates M4C forever
Cdm iangushwe 2015 na ccm kwa sera gani mlizonazo au kwa mgombea yupi mliyenaye? hakuna kinachouzika ccm. Ziandaeni fedha tutawandisha wananchi jinsi ya kuzila ili mufilisike. kwa kuwa nyie ni masikini wa sera mumebaki na fedha tu.
Ni kweli lakini kwao kufedheheka si kitu muhimu kwa kuwa wamezoea kuwa hivyo, wanaendeshwa hovyo na mabwana zao ccm. Natamani cdm ikishika inji isafishe hizi takataka kuanzia TISS mpaka MAGEREZA
Pamoja sana mkuu, ingekuwa vyema ukafanyika utaratibu mzuri na wa uhakika wa kuchangia kwa sisi tulio mbali na tukio kwa sasa. najua harakati hizi zinahitaji fedha sana na rasilimali watu + muda.
Nakushauri kaka Mwigu... jitahidi kwa muda wako urudie kusoma tena kwa utulivu maoni ya Mvaa Tai, halafu umkumbuke muumba wa mbingu na dunia. Kama utaendelea kusambaza uongo na watu wasio na hatia wakateseka kwa ajili yako kama ilivyo sasa. Kifo chako na washirika wako kitakuwa cha aibu zaidi ya...
kweli hao ni wauaji. cha ajabu rais anawajua lkn kwa kuwa ni waislamu wenzake
wao si shida na haimsumbui. lakini sipati picha lingeffanya hivyo kanisa katoliki?
JK usipo fanya mambo yakawa sawia yataendelea kukusumbua. ww ndo amiri jeshi
mkuu sasa unamlalamikia nani? au rashid othmani yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.