Recent content by ALAIS MOOSHE

  1. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Ntaachaje kupiga punyeto.?

    Epuka kua na kuangalia picha chafu kwenye simu yako pia kama unampenzi unafanyeje tena punyeto? Unakua huridhiki au?
  2. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Hilo kama ni gari lishakuacha stendi ukishangaa mbaya zaidi uchumba wenu ni bubu haujulikani angalau na wazazi kiasi kwamba hata gharama zako ungeweza kuzidai mlikutana mkapendana wenyewe mkaanzisha mahusiano pole sn huyo ni kunguru cha msingi wewe achana nae fanya mpango mwingine hata huo...
  3. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa masaa 48

    Ee MUNGU ibariki Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Kuna kitu kimoja umesahau hapo kwenye no 8 ndio atakupa ila ndo yale ya "kula maliza funika nenda" unamkuta mwanamke hatikisiki kalala tu kama gogo jamani hilo nalo c tatizo???. Lingine hv kuna ubaya gani ukimwambia mwanamke nataka upendeze kama fulani unamtolea mfano mwanamke anayemjua maybe...
  5. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Furaha ipi unayopata kwa mchepuko wako kuliko kwa mwenza wako?

    Okoka mpokee yesu ndio jibu
  6. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

    Duh hatari mimi kuanzia j3 hakuna mke wangu kwenda ofisini!
  7. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume asiyependa ngono

    Duh! Nalo neno
  8. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    Yote hayo yanasababishwa na iddle mind
  9. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    Ni zaidi ya hatari!
  10. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hakuna ndumba wala uchawi kutoka kitaa mpaka mjengoni MUNGU hamtupi mja wake Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  11. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Langu jicho tu ukweli utabainika tu!
  12. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Agness Gerald (Masogange) afikishwa Mahakamani Kisutu, Apata dhamana

    My dear moniccca is this issue true??
  13. ALAIS MOOSHE

    JamiiForums Tanzania Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Uchunguzi wa kina ufanyike ndipo sheria ichukue mkondo wake
Back
Top Bottom