Recent content by Alagwa

  1. Alagwa

    Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  2. Alagwa

    Waganga wafawidhi kusimamia majukumu Yao Wilaya ya Meru

    Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya utekelezaji Robo ya pili ya Mwaka 2024-2025. Aidha Dkt. Chiweka katika kikao hiko amewataka Waganga...
  3. Alagwa

    Mbulu, Manyara: Limepita tetemeko la kutosha

    Duuu hii ni hatari kama una moyo mwepesi unaweza kuzima. Basi na usingizi umekata kabisa hi ni mara ya kwanza kusikia mbua kali kama hii kwa hapa dar huku tabata mambo shwari mpaka tukiamka asubui ndio tutajua adhari iliuotokea vipi huko kwako?
  4. Alagwa

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Mshana huwezi kutumia mfumo wa reverse kama break hizi ni part mbili tofauti kabisa kulingana na speed ya ndege hata kwa dawa reverse haiwezi kuingilia mfumo wa break kwenye mfumo wa gari tuuu ni shughuli
  5. Alagwa

    Post yanye views nyingi hapa Jamii Forums

    Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao. Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile zinazogusa jamii hasa mambo yandani sana ya jamii pia maswala ya siasa huwa yanasomwa sana. Je, wewe...
  6. Alagwa

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Embu fikiria kiundani itakuwaje
  7. Alagwa

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mhh ngoja nianze kwa haraka na kwakifupi ili na wewe uione hii picha alafu uniambie itakuwaje huko mbele.. 1.Idadi ya wanawake nikubwa kuliko wanaume 2. Kuna wanaume wasioweza kuzalishi 3. Kuna wanaume wengi wako jela na wengine ni vichaa tunawaoana huko njiani. 4. Kuna wanaume wasiokuwa na...
  8. Alagwa

    Unaijua Usa River iliyoko Arusha Tanzania

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijapata jibu labda Leo unaweza kunisaidia. Hapa Arusha kuna sehemu inaitwa Usa River. Hili jina ni la muda sana kwa sehemu hii alafu mara nyingi nikiangalia majina ya sehemu nyingi unakuta ni ya asili ya sehemu husika lakini kwa nini hii ikawa Usa River je...
  9. Alagwa

    Jinsi Gani Tv inagharimu kwenye maisha yetu

    Tuelewane kidogo... Ishu sio bei ya tv au ukubwa wa tv yako bali gharama ya tv yako kwenye Maisha yako nikubwa sana kiuchumi kama utapiga Mahesabu vizuri. Tunanunua kwa gharama sana ili kujiburudisha lakini sio gharama hiyo tuu pia tunatumia muda mwingi kuangalia tv hiyo ambapo muda huo...
  10. Alagwa

    Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

    Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa Tabata ndio inashika namba moja. Ukianzia 40 40 jirani hapo kuna Smal Planet tembea kidogo unakutana na Kitamaa Cheupe kabla hujakaa sawa unasikia...
  11. Alagwa

    Whatapp, facebook na Insta zikifungwa mtaweza maisha bongo hii

    Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
  12. Alagwa

    Radio & TV Presenter anahitajika

    USA River TV. Imetoa nafasi za kazi kwa Presenter wa vipindi na mtunzi kwaajili ya kutangaza. Sifa. Awe ni professional (media personality) Awe tayari kufanyakazi mkoani. Ajue kutumia kamera pamoja na editing za video Tuma CV Maombi yatumwe email: paphjo@yahoo.com
Back
Top Bottom