Recent content by Al Zagawi

  1. Al Zagawi

    Tetesi: Yawezekana Ndani ya mwezi wa Tisa 2025 Jamaa anaachiwa Huru

    friji lake haligandishi siyo.... :D ....hataki unafiki!
  2. Al Zagawi

    Picha ya Marafiki wa Lowassa

    Palitokea sintofahamu mle ndani....kuna mzee mmoja kati ya waanzilishi wa Habari Corp ambaye baadae alikuja kuwa na cheo cha Msigwa enzi za JK, yule mzee ni sehemu ya mtandao...ile sintofahamu ndiyo hatimaye kampuni ikauzwa na RA ambaye awali alikuwa na shares Mwananchi, akaenda kuinunua na...
  3. Al Zagawi

    Davidi Kafulila: Wachumi wanasema Vita ya Tatu ya Dunia itapiganwa kwa chokochoko za maji sio mafuta wala gesi

    Hata ngedere/tumbili naye pia atapita...hakuna atakayeishi milele.... And the beauty, aliitwa ngedere na mwanasheria mkuu wa serikali wakati huo Kafulila akiwa mpinzani kabla ya kuunga mkono juhudi.....
  4. Al Zagawi

    GE2025 Kwenye Ilani na Ahadi za Mgombea Urais wa CCM, sijaona popote Sekta ya Kilimo ikitajwa kama kipaumbele

    Yap....wana mtandao wanalenga dili la procurement. Ikiwa katika kila tractor 1 wataongeza 1-mln tu, kwenye hizo 10,000 wataiba 10bln(1,000,000*10,000=10,000,000,000)....the minimum.
  5. Al Zagawi

    GE2025 Rais Samia: Dodoma, tumejenga kiwanda kikubwa cha ITRACOM chenye uwezo wa kuzalisha tani 1,000,000 za mbolea kwa mwaka

    Kiongozi...unaelewa maana ya Tani 1,000,000(Kg 1,000*1,000,000) za uzalishaji.....hizo hesabu ni feki. Hakuna kiwanda bongo kinaweza kuzalisha mzigo mkubwa kama huo.....! Tafadhali rejea hii cutting hapa chini from the Chanzo na kisha soma hiyo article yote kwenye link kwa utulivu...
  6. Al Zagawi

    GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Benki aliyotumia ya kiswahili(mkombozi) ndiyo habari zikavuja, Singa alipitishia benki ya wazungu(stanbic), huko hela zilibebwa kwa magari kimya kimya na kiasi zikaishia jumba jeupe la magogoni...mkazi wa ile nyumba wa wakati huo akajitokeza hadharani na kudai hela zile hazikuwa za...
  7. Al Zagawi

    GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    wakulima na wafanyakazi walipigwa dafrao kwa azimio la zanzibar na Nyerere akiwa hai na hakuna kitu cha maana aliweza kufanya... sasa ni chama cha matajiri wenye hela ndefu...!
  8. Al Zagawi

    GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Ndiyo yeye huyo....yale mabilioni ya ESCROW yaliibwa na kugawanywa kama njugu wakati wa Jakaya. Kwa ufupi....mafisadi wamerudi kwenye chati, na this time kwa kujua walichopitia wakati wa Magu, watahakikisha hawatoi nafasi tena ya mtu aina ya Magu kushika madaraka...watakula na kula na kula tena...
  9. Al Zagawi

    GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

    Zitto ni mtu wa maslahi binafsi a.k.a. dalali kama ilivyothibitishwa na baba Levo....Dini means very little to him na ndiyo unaona hata ndoa yake haikuwa ya kidini.....!
  10. Al Zagawi

    Nilichogundua kwa Rais

    Umeongea nusu ya ukweli... Zanzibar ina jamii kuu mbili: Wa-Unguja(watu wa mapinduzi daima) na Wapemba(waliopinduliwa 1964).... Watu wa Mapinduzi daima ni wakatili kama inavyoonyeshwa na tabia zao wakati wa mapinduzi(walivyoua na kufanya ukatili mwingi uliofichwa na historia) na jinsi...
  11. Al Zagawi

    TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

    Pole mzee wangu kwa msiba wa swahiba wako....Allah amlipe Firdaus. Nimesikia pahala leo hii, kumbe ni ndugu na mzee Isa Makongoro alikuwa katika viongozi wa Yanga miaka ya nyuma...nimeweza ku relate.
  12. Al Zagawi

    TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

    Boss, JF ni social media ya kupashana habari pia kama vile instagram, FB, Twitter....don't take it personal....!
  13. Al Zagawi

    Watu walioanzia certificate na kisha kwenda Diploma alafu Shahada wasipewe vyeo vikubwa, waishie kwenye fundi

    utafiti wa wizara ya utumishi uliochapishwa na gazeti la Nipashe mapema mwaka huu likimnukuu waziri Simbachawene, asilimia 40 ya watumishi serikalini ni mizigo.... .....tuanzie hapo kwa kutua hiyo mizigo....possibly hata huyo unayemlenga naye ni mzigo... :D
Back
Top Bottom