Recent content by Al-shabaab

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini Chama alimaliza dakika 90 kwenye mechi za watani wa jadi?

    Hii hapa Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Majina hayo walioitwa kwenye usaili
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Wameamua kusitisha kwa muda
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Duh kumbe, sawa changamoto bado ipo kwa sababu muda wa kuwa nyumbani ni mchache kuliko kazini
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Masharti yake ni yapi? Lazima mtumiaji awe eneo husika lililounganishwa au anaweza kutumia mahali popote mfano kaunganishiwa Dar anaweza kutumia akiwa MWANZA au sehemu nyingine tofauti na alipounganishiwa?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Madudu ya ajira mpya za walimu 9,800. TAMISEMI tunaomba majibu

    Angalia hiyo ni mfano tu wa page mojawapo sijajua upande wa afya ikoje
  7. A

    JamiiForums Tanzania Madudu ya ajira mpya za walimu 9,800. TAMISEMI tunaomba majibu

    Jana waziri wa tamisemi alitangaza majina ya waliopata ajira lakini ajabu ukiangalia kwenye list utaona mtu kasoma MATHEMATICS ila kaandikiwa bachelor of arts Huku akisema taasisi zaidi ya kumi zimehusika kwenye huo mchakato ikiwemo takukuru
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

    Swali kwa wadau hivi kipindi anacheza Champions League inamaana wao CAF huwa hawafatilii issue za mikataba ya wachezaji? Je wao hawakuona kama bado ni mchezaji wa yanga au simba?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Madini, Utalii, wabunge wenyewe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji hiyo mashine
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Mwenye kujua application nzuri ya kufanya auto call yaani naset muda fulani ikifika inampigia mtu nilizotumia naona ukiset zinasahau hazipigi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu vidonda kwenye ulimi

    Asanteni woote kwa ushauri wenu tatizo limeisha kwa kutumia dawa ya vitamin B complex pamoja na kula machungwa kwa wingi
Back
Top Bottom